Ningejua nisingeoa maishani mwangu

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,079
2,000
Mimi naona maisha ya ndoa ya wazazi wako yamekuadhiri kisaikolojia, unahitaji ushauri tu na kutiwa moyo.

Ni kweli kuna watu wanajuta kuoa/kuolewa na wenzi walionao kutokana na mifarakano ya hapa na pale na isiyoisha, ila watu hawaishi kuoa/kuolewa eti kwa vile kuna mifarakano kwenye ndoa fulani hata kama ni wazazi wako, wewe unapaswa kujifunza kutokana na makosa hayo na kudhamiria kutoyarudia makosa hayo kamwe katika ndoa yako, kumbuka wewe ni wewe, wao ni wao na sisi ni sisi.

Ukizaa bila kuishi na mwanamke utamuathiri sana mtoto kwani atapata malezi na makuzi ya ajabu sana na atakosa upendo wa wazazi wake wakiwa pamoja, na mwisho utakuja kujuta utapogundua mwanamke uliyezaa naye amaolewa na mtoto wako anateswa na baba wa kambo kiasi cha kunyimwa chakula. Usifanye hivyo ndugu yangu, wewe ni mtu mzima
(i hope so), jenga familia yako wewe mwenyewe, na usiige mtu hata kidogo maana ndoa hutengenezwa na wanandoa wenyewe kwa msaada wa Mungu.

Zaidi sana nakushauri mpokee Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako, utawaombea wazazi wako na wewe utaomba Mungu akupe mke mwema na wewe uwe mume mwema, barikiwa
Asante sana mkuu kwa ushauri wako umentia moyo
 

pablojunior

Senior Member
Apr 15, 2014
159
0
kuna kauli hii waliokua kwenye ndoa wamatani kutoka .daaaah ubachela mzuri ila mgumu. mkuu inategemea na mwenza ulienaye kuna wenzetu wa kiume wanakufa taratibu na tai shingoni hawa wanawake wa kukutana nao bar club ndio hivyo tu inabidi tuvumilie mkuu ni dhahiri kwa maelezo yako mama yako hakuwa wife material ila alificha makucha sana alipokuja kuyatoa inakula kwa baba mkuu wanawake mm binafsi nashindwa kuwaelewa coz leo utamwambia hiki cku mbili tatizo mkuu hapo labda mama yako ni tabia tu za asili za kwao vp ndoa za mama zako wadogo, mkuu niliingia sehemu moja nilijuta nilikua na miaka
 

Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
Kamwe usiige maisha ya mtu mwingine ,kuwa na familia ni muhimu,mbona baba bado yuko na mama,tena maneno yanaumba,badilisha msemo wako,mi nilifikiri uatafanya kwa kujifunza jinsi wazazi wanavoishi.
 

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,533
2,000
utaishia kwenye ban tu bora uwe mpole, hunijui sikujui sioni connection yoyote yakutoana mishipa ya shingo for what reason?

hili jukwaa mwanzo halikuwa hivi lakini tangu kiwekwe kile kitufe cha share Facebook nashuhudia vituko vitupu tu.
basi unatakiwa uwe mpole sio kuingilia yasiyokuhusu itakugharim
 

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
15,967
2,000
basi unatakiwa uwe mpole sio kuingilia yasiyokuhusu itakugharim
Wewe twende ukamalizie kurembua kule
Huku wanakushangaa ujuee
Ngoja nikuitie makungwi wako
DEMBA niitie Dina aje achukue mwari wake huku anachafua tu thread ya watu na akili zao
 
Last edited by a moderator:

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,533
2,000
ahahahahahahaha maskini ya Mungu unatia huruma!
Waliokutosa hawakujua wamekutenda hivi wallahi wangefanya sherehe
hahahaaaa! Unganeni basi mfanye sherehe.
Si mlisema mtaniwekea kigodoro?
Halafu lazma nikuonje ww
 

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,533
2,000
Wewe twende ukamalizie kurembua kule
Huku wanakushangaa ujuee
Ngoja nikuitie makungwi wako
DEMBA niitie Dina aje achukue mwari wake huku anachafua tu thread ya watu na akili zao
mnajitahidi kushambulia nyie wanawake duuu! Nileteen hao makungwi basi
 
Last edited by a moderator:

DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,177
2,000
Wewe twende ukamalizie kurembua kule
Huku wanakushangaa ujuee
Ngoja nikuitie makungwi wako
DEMBA niitie Dina aje achukue mwari wake huku anachafua tu thread ya watu na akili zao
hee heee Dinazarde kam zis wei......mwali yupo hukuuuuu!!!! katoroka mkoleni
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom