Ningejua nisingeoa maishani mwangu

Asiyejua maana ya ndoa ndio anaweza kusema maneno hayo, pia ujue hakuna maisha ya kukopy.ila amini usiamini kuna big advantage katika kuoa kama utakua umejipanga,mind sisi wanaume tuna big role ya kuhakikisha ndoa inasimama hakuna wapo wanawake wenye shida lakini nina uhakika kwa wanawake walio tulia haanzi kuleta vurugu kama mwanaume hajamvuruga
 
yapo yaliyokuaffect waache wazazi wako na yanayowasibu!
Burden ya kutofanikiwa kwenye ndoa yao yanawatosha
Usiwabebeshe lingine la kufanya watoto wao wasifanikiwe kwenye ndoa/mahusiano yao

kumbe kushauri vizuri unajua !!!!
 
Mhh i hate loneliness kwa kweli..nikiwaza kuzeeka sina a family of my own,hapana aisee,tuzinguane tu ,family is so important,tatizo ni over expectations mtu unadhani unaoa malaika kumbe binadamu wa kawaida tu ka wewe...

Na wewe usiwe na over expectations, maisha yatakuwa rahisi, mwanaume ukimkubali kama alivyo hana life mtalisongesha bila tabu.

lakini umri wako si bado hujafika ule wa tia maji tia maji?
 
Mhh i hate loneliness kwa kweli..nikiwaza kuzeeka sina a family of my own,hapana aisee,tuzinguane tu ,family is so important,tatizo ni over expectations mtu unadhani unaoa malaika kumbe binadamu wa kawaida tu ka wewe...

..loneliness mbaya sana, kuzeeka pekeyo mbaya sana...bira liende tu kibishi, hatutagombana kila siku, zipo simu tutacheka, tutacheza, tutashikana mikono njiani, tutafarijiana kwa mengi..
faida ni nyingi kuliko hasara kwa hiyo bora kuwa na mtu..
 
Oh yes!
"Hatutagombana kila siku,zipo siku tutacheka,tutacheza,tutashikana mikono njiani,tutafarijiana kwa mengi....."
Ahsante Elli!
 
Ungesema hutak mtoto
Ningekushauri uwe priest

Yani sina wito wa kuwa priest since I was a kid, nakumbuka kuna padri flani alimwambia baba yangu eti anipeleke seminar thay was in 1993 nililia sana nikakataa.
 
alikosea huyo from the beggining kuna watu wameumwa kutokuoa au kuolewa
 
mmmmmmhhh babaako anajuta? miaka 40 ndani ya ndoa? wazazi wako ni wavumilivu instead of being affected you have to learn how were they able to live together for fourty years.Na kama wasingevumiliana leo hii msingewaona pamoja na wasingewalea kwa pamoja.DONT BE AFFECTED INSTEAD LEARN SOMETHING FROM THEM YOU WILL GET SOMETHING GOOOD.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom