Ninapenda pesa

sijaona ukimaliza ahidi ya mchango wa harusi ya rafiki yetu, jitahidi basi mama mzuri
 
Si ww ndo tumeongea apo dukani kwa mangi ukasema Unapenda pesa kuliko ndoa na chochote!!…
Sasa unashangaa nini kuwafokea wanoa kisa huna ela🤣🤣🤣si tabia yako hyo tangu unaolewa
 
Si ww ndo tumeongea apo dukani kwa mangi ukasema Unapenda pesa kuliko ndoa na chochote!!…
Sasa unashangaa nini kuwafokea wanoa kisa huna ela🤣🤣🤣si tabia yako hyo tangu unaolewa
Ya zamani sana..😂😂😂
 
Wewe hutamani pesa?
Hakuna mtu ambaye hatamani pesa ila tu tumezidiana kwenye kutamani wapo wengine ni wa kuwango Cha high level, middle level na lower level ila kwa upande wako naona ni wa high level hii ni mbaya Sana maana Unaweza kujikuta unafanya mambo ya ovyo tu kutokana na msukumo wa kuhitaji ankara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…