Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,353
- 3,535
Ok ok. Na ku import or export ni hivi hivi vibiashara sisi tunavyofanya au ni biashara inayofanywa na government tu.Kila nchi imesubcribe IMF na kufix kiasi cha fedha in terms of dollars, sasa basi dhumuni kuu la exchange rate ni kwa ajili ya kubadilishana bidhaa kati ya nchi na nchi, currency zinazokubalika allover za world ni tano tu zikiongozwa na us dollars so si rahisi tzs shillings kupokelewa China inabidi uexchange into dollar, sasa inafikia mfano tz tume import zaidi kuliko export mpaka tukamaliza balance tuliyofix IMF ndo kinatokea kitu kinaitwa unfavorable terms, ili kubalance inabidi tupromote export kwa devalue our currency ili bidhaa zetu ziwe cheap nchi za nje zinunue sana ili kupandisha foreign currency ndomana nikasema Kenya wamevalue currency yao coz wanaviwanda vingi
Meaning mimi na export viungo vya spices nje. Je nachangia na mimi kuimarisha exchange rate!