Ninaomba Ufafanuzi wa Kitaalam: Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali?

Suala la kufix exchange rate halina uhusiano kabisa na uimara wa uchumi katika nchi husika Bali linategemeana na nchi je inataka nini ktk masuala ya biashara za kimataifa hapa nazungumzia upande wa import and export
Mkuu, exchange rate inakuwa ni ya kiwango fulani cha fedha kwa njia kuu mbili;

(1) Maamuzi ya serikali (Central Bank Discretion)
(2) Demand and Supply ya pesa husika katika soko.

Kwa hapa nipo sahihi ama nimekosea???
 
Asante sana mkuu. Sasa Kenya ametumia njia number ngapi kati ya hizo mbili hapo juu???
Katumia approach zote, sababu nchi tayari ina viwanda vingi ambavyo ni mbadala wa bidhaa za kuagiza nyingi, pia Hana demand kubwa for foreign currency coz kidogo anajitosheleza kwa uzalishaji, pia ktk hilo kaua ndege wengi kwa jiwe moja mfano kwa over value currency yake inafanya kuimport kuwa cheap ambapo inamsaidia kuagiza capital goods kwa ajili ya investment
 
Asante kwa ufafanuzi huu pia.

Sasa vp kuhusu Japan, wametumia njia ipi kati ya hizo hapo juu ili kuweza kufikia "exchange rate" ya kiasi hicho cha fedha???
 
Mi hata sijui.....kwanza zinanichanganya tu.....labda dollar.....euro......tsh na pound ndio naweza kuzijua.......
 
Asante kwa ufafanuzi huu pia.

Sasa vp kuhusu Japan, wametumia njia ipi kati ya hizo hapo juu ili kuweza kufikia "exchange rate" ya kiasi hicho cha fedha???
Kama ntakuwa nimekuelewa swali lako je unatamani kufahamu ni kwa nini Japan kadevalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama euro au usd, kama ni hivyo inaweza ikawa ni sababu labda ya kuteka soko la ulaya na America coz kwa devalue currency yake bidhaa za Japan zinakuwa cheap ambapo export unakuwa kubwa na automatic inamkuzia foreign reserves
 
kwa nini Japan kadevalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama euro au usd
Mkuu, Japan aki-devalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama USD na Euro, automatically anakuwa ame-devalue mpaka na fedha za walalahoi wa huku Afrika? Au sio?
 
Mkuu, Japan aki-devalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama USD na Euro, automatically anakuwa ame-devalue mpaka na fedha za walalahoi wa huku Afrika? Au sio?
Ndio ni kwa currency zote duniani inakuwa applicable ingawaje dhumuni lake kuu inaweza ikawa kwa ukanda fulani au specific country!
 
Kama ntakuwa nimekuelewa swali lako je unatamani kufahamu ni kwa nini Japan kadevalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama euro au usd, kama ni hivyo inaweza ikawa ni sababu labda ya kuteka soko la ulaya na America coz kwa devalue currency yake bidhaa za Japan zinakuwa cheap ambapo export unakuwa kubwa na automatic inamkuzia foreign reserves
Point
 
Hio ni exchange rate ya leo, muda wowote inabadilika

Pesa zenye thamani dunia ni

USD Dollar
Pound ,etc

Hizo nyingine sijui naira, Japan yen, rand (South africa) ni pesa za kawaida sana kiuchumi, ndio maana unaona zinarange sawa

Japan haina nguvu kiuchumu kias kwamba pesa yake inawezakuwa na dhaman kuzid Dollar, haina tamko lolote linaloweza kupandisha au kushusha exchange rates kama marekan

Pesa zenye thamani ni
1. Pound ya Uingereza
2. Euro
3. Dollar ya mmarekani
4. Dinar
 
Hio ni exchange rate ya leo, muda wowote inabadilika

Pesa zenye thamani dunia ni

USD Dollar
Pound ,etc

Hizo nyingine sijui naira, Japan yen, rand (South africa) ni pesa za kawaida sana kiuchumi, ndio maana unaona zinarange sawa

Japan haina nguvu kiuchumu kias kwamba pesa yake inawezakuwa na dhaman kuzid Dollar, haina tamko lolote linaloweza kupandisha au kushusha exchange rates kama marekan

Dinar moja ya nchi za uarabu ni sawa na zaidi ya sh elfu saba za kibongo. Yani Dinar ni kubwa kuliko hata $ £ au €
 
Hapo Japan wameshusha currency yao ili waexport more than importing
Mkuu Blac kid nimekuelewa sana kuhusiana na suala la kushusha thamani ya fedha ya kigeni kwa maamuzi ya serikali ya nchi husika.

Sasa, vp kuhusiana na suala la kupandisha thamani ya fedha? inawezekana pia kwa maamuzi ya serikali hiyo hiyo?
 
Hiii ishu iko hivi unavyoingia imf unachagua mwenyewe thamani ya pesa yako in term of dollars, baada ya hapo unaanza fanya biashara za kimataifa, endapo bidhaa zako utauza nyingi nje basi thamani ya pesa uliyo anza nayo itapanda na endapo utaingiza bidhaa nyingi kuliko kutoa basi pesa yako itashuka.

Kwa maelezo yangu hapo juu, ndo mchezo wa biashara za kimataifa umavyochezwa na nchi wastarabu wa magharibi,. Sasaa ishuu inakuja kwa waselamavi nchi za asia ( china, Thailand, japan na wenzao) hawa jamaa pesa yao inabidi ipande value lkn serikali zao zina tabia ya kuingilia mfumo na kushusha value. Vita ys uchumi inayonguruma kat y marekani na uchina nibkutokana ns huu mchezo mchafu

Waweza kujiuliza serikali za hawa majamaa wanashushaje value yao. Ni kwamba hizi serikali zinakuwa na lagre sum of dollars na watu ambao wako attention kufuatilia endapo wakiona thamani yao inaanza kupanda basi wao kazi yao ni moja tu kununua doller kwa fasta kumb demand n supply kwa pesa yao hivyo kurudisha mlinganyo hapa ndipo mmarekani analalamika. Kwa sababu

Kwa kuwa pesa yake iko juu inamfanya yeye awe mnunuzi tu kwa mchina yaan hawez uza bidhaa zake china na hata kwa ndugu zao wajapan kwa sababu ni aghali

Na japani uchumi wake haujakuwa long time hivyo anafanya juu chin pesa yake iwe n thaman ndogo ili aweze kuexport kwa nchi nyingi. Ukitaka ucheke angalia thamani ya korea kusini against Tanzania

So huo ni ujanja katika biashara za kimataifa
 
Back
Top Bottom