Ninaomba Ufafanuzi wa Kitaalam: Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali?

Kila nchi imesubcribe IMF na kufix kiasi cha fedha in terms of dollars, sasa basi dhumuni kuu la exchange rate ni kwa ajili ya kubadilishana bidhaa kati ya nchi na nchi, currency zinazokubalika allover za world ni tano tu zikiongozwa na us dollars so si rahisi tzs shillings kupokelewa China inabidi uexchange into dollar, sasa inafikia mfano tz tume import zaidi kuliko export mpaka tukamaliza balance tuliyofix IMF ndo kinatokea kitu kinaitwa unfavorable terms, ili kubalance inabidi tupromote export kwa devalue our currency ili bidhaa zetu ziwe cheap nchi za nje zinunue sana ili kupandisha foreign currency ndomana nikasema Kenya wamevalue currency yao coz wanaviwanda vingi
Ok ok. Na ku import or export ni hivi hivi vibiashara sisi tunavyofanya au ni biashara inayofanywa na government tu.
Meaning mimi na export viungo vya spices nje. Je nachangia na mimi kuimarisha exchange rate!
 
Ndugu yangu Denis Alphonce hizi kauli zako mbili zinajikanganya sana (Both are self contradictory)

Mkuuu kitu kinachoipa thamani ya pesa ni demand Us dollar Ina thamani kwa sababu currency yao imekuwa issued kununue fuel product meaning petroleum products petrol,diesel na mafuta mengine hizo product ni most demanded duniani au umeshawahi sikia pipa moja la crude oil likauzwa kwa paund au Euro

Nchi za ghuba ya uajemi na mataifa ya mashariki ya Kati ni wazalishaji wa kubwa wa petroleum products bidhaa hizi Zina soko kubwa na uhitaji mkubwa ktk soko la Dunia ndio sababu pesa yao Ina nguvu
 
Ili kupush thamani yako ya fedha juu inatakiwa uwe na producer wa necessary goods Kama mafuta ni mawazo tu sijapingana na wewe Ila tiger countries Wana viwanda vingi lakin thaman za pesa zao niza kawaida ni kwa sababu bidhaa wanazotengeneza sio necessary na bado zinaushindan ktk soko la Dunia
Uko sahihi kabisa, lkn kwa mazingira ya Kenya soko lake kubwa la consumer goods lipo Africa ndo maana kaipa value currency yake ili apunguze gharama za uagizaji wa capital goods ambazo zinazalishwa kwa wingi Asia na ulaya, so ana uhitaji mkubwa wa capital goods ili akuze investment/import substitution industries. Kumbuka Kenya hata aki-devalue currency yake ili abust export ya his industrial products nje ya Africa nakuhakikishia hawezi kushindana na bidhaa za Asia wala ulaya, sanasana labda atauza agricultural products ambazo kule wanazitegemea kama raw material ya viwanda.
 
Ok ok. Na ku import or export ni hivi hivi vibiashara sisi tunavyofanya au ni biashara inayofanywa na government tu.
Meaning mimi na export viungo vya spices nje. Je nachangia na mimi kuimarisha exchange rate!
Ndio mkuu biashara zote either iwe imefanywa na individual or government inachangia kukuza au kupunguza akiba ya foreign currency, hata wewe kuuza viungo umechangia kuingizia nchi foreign currency, make Mteja wako huyo alikuja na dollars zake akaichenji kuwa tzs pale BOT au bureau de change!
 
Magari ya kijapan pamoja na spare parts zake huuzwa kwa dollar (USD). Hapa pia unatofautiana na ndugu Blac kid ...
Hajatofatiana na Mimi hata kidogo labda wewe ndo hujamuelewa , kumbuka Japan anaihitaji mno dollars make ndo ni currency ya dunia ingawa haijawekwa rasmi, so wewe ukienda Tokyo na tzs shillings halafu mie na dollars tunataka tuzichenji into yen ili tununue bidhaa, mie mwenye dola ndani sekunde mbili ntakuwa nishahudumiwa ila wewe mwenye shillings ukimaliza wiki hujahudumiwa wala usishangae make itabidi wamsake dealer wa kijapan anayeimport korosho huku bongo
 
Ok ok. Na ku import or export ni hivi hivi vibiashara sisi tunavyofanya au ni biashara inayofanywa na government tu.
Meaning mimi na export viungo vya spices nje. Je nachangia na mimi kuimarisha exchange rate!
Rais Magufuli ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Magufuli kwa kuwatumikia Watanzania.
 
Back
Top Bottom