Ndio mkuu serikali pia inaweza kupandisha value ya currency yake kwa madhumuni kadhaa mfano kwa Kenya keshajihakikishia soko/export la agricultural products kama tea, coffee, tobbaco and cotton and some mineral products ktk nchi za Asia na ulaya so kwa hapo unaona tayari ana uhakika wa kutunisha mkoba wake wa foreign currency, pia kwa upande wa pili raia wake mahitaji yao makubwa ni for consumer goods Bahati nzuri tayari ana import substitution industry nyingi so halazimiki kuimport sana, labda capital goods ambazo hazalishi kwa wingi, sasabasi kwa scenario hiyo ka-opt kuvalue currency yake ili iwe cheap kuimport capital goods ambazo ni muhimu kwa ajili kukuza uwekezaji wa ndani, so hapo unaona Kenya kavalue currency yake kwa dhumuni la kukuza uwekezaji!Mkuu Blac kid nimekuelewa sana kuhusiana na suala la kushusha thamani ya fedha ya kigeni kwa maamuzi ya serikali ya nchi husika.
Sasa, vp kuhusiana na suala la kupandisha thamani ya fedha? inawezekana pia kwa maamuzi ya serikali hiyo hiyo?