Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,319
- Thread starter
- #21
Mkuu, exchange rate inakuwa ni ya kiwango fulani cha fedha kwa njia kuu mbili;Suala la kufix exchange rate halina uhusiano kabisa na uimara wa uchumi katika nchi husika Bali linategemeana na nchi je inataka nini ktk masuala ya biashara za kimataifa hapa nazungumzia upande wa import and export
(1) Maamuzi ya serikali (Central Bank Discretion)
(2) Demand and Supply ya pesa husika katika soko.
Kwa hapa nipo sahihi ama nimekosea???