Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Ushameza sumu au bado? Kama bado niPM
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
Watu wengi humu wanakatisha tamaa badala ya kufariji na kumsaidia mtu.Ni bora mtu ukae kimya kuliko kuropoka utumbo.Kwake yeye Jack na watu kama yeye ni walkati mgumu na wanakuwa wamechanganyikiwa kweli.Sasa haya majibu ya rejareja mnatoa humu ni utoto wa hali ya juu.Mnaiharibu JamiiForum.Ningependa Mods wawewanawashughulikia kwa kweli.
Yani ni majanga.Kuna haja ya kutoa darasa ili hadhi ya MMU irudi.Cha kushangaza kuna wale ambao walikuwa na ushauri mzuri nao wamebadilishwa wanatoa pumba tu.
itakua tayari maana tangu sikuile hajaingia hapa,ripUshameza sumu au bado? Kama bado niPM
itakua tayari maana tangu sikuile hajaingia hapa,rip
oh MY GOD...Mi ntatoa sanda, wala asijali. Atoe tu taarifa mapema baada ya kufariki
hmm..R.I.P Jacky 1 ...Uangaziwe mwanga wa milele!
Me sijawahi kuona mtu anavyopata ujauzito.........................
Mi ntatoa sanda, wala asijali. Atoe tu taarifa mapema baada ya kufariki
R.I.P Jacky 1 ...Uangaziwe mwanga wa milele!
Me sijawahi kuona mtu anavyopata ujauzito.........................
itakua tayari maana tangu sikuile hajaingia hapa,rip
Kunywa Sumu Tu-ila kabla ya kunywa waulize wazazi wako nani ajawai kuzini?
Ushameza sumu au bado? Kama bado niPM
Ama kweli kiatu usichovaa hujui kinabanaje! Jack pole. We nenda kwenu lala hata barazani. Hasira zao zikiisha watakufungulia tu mlango uingie. Wakigoma nenda kwa mtu wanayemsikliza akakuombee msamaha. Huyo mwanaume pia anaweza kujirudi maana wengine huruka kwa mshtuko. Asipojirudi wala hakuna lililoharibika. Kubali hali ili akili ifunguke uone mbele.Yani nijiue kisa mimba?mtt ni baraka shost,subirii ukijifungua,ujiue peke yako utuachie huyo malaika eboooo!!!!???
Kuna mdada mwingine juzi alitaka kujiua kwasababu hapati uja uzito na anatamani sana mtoto.