Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
mnh, mara ya mwisho alionekana JF tarehe 28/March...
tuombe tu mungu awe salama huko aliko.
Sasa shoga ulivyopanua miguu bila condom ulitegemea nini...ningekupa pole km Ungekua umebakwa lkn kwa hiari yako hustahili pole we amua lolote cz utamu uliusikia wewe na shemeji..sisi hatukuwepo..kuna mambo ukifanya lzm ujiandae kwa lolote
Ni pm nikusaidie pesa ya kutolea mimba!
Ni pm nikusaidie pesa ya kutolea mimba!
tafuta hela ya kutoa mimba kama haijakuwa kubwa
majukumu ambayo hukujipanga huna budi kuyatua,ndo maana hata nchi zilizoendelea hawaoni ajabu mimba kutolewa na ku-legalizeKwanini atoe mimba.......huyo mtoto hastahili kuzaliwa kwasababu zipi...? Mama kukata tamaa ama huyo mtoto yuko nje ya kizazi.......ama mama ana matatizo ya kiafya ndo mana inabidi kutolewa....? Yani unashauri huyo kiumbe akatishwe uhai......kwanini wew usijikatishe uhai kwa kujiua........wew unapenda kuishi....kwanini sasa hautaki wengine waje kuishi kwa hali yoyote ile.....
majukumu ambayo hukujipanga huna budi kuyatua,ndo maana hata nchi zilizoendelea hawaoni ajabu mimba kutolewa na ku-legalize
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
Unywe sumu kisa ni nini?
Yawezekana huyo mwanaume si kusudio la Mungu, Hata angekuoa msingedum hivyo mshukuru Mungu kwa Muujiza aliokutendea mpaka hapo ulipo kwani una afya Njema.
Vipi upo mzima au id ya marehemuNinaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.