Nina ujauzito - nimekata tamaa

Nina ujauzito - nimekata tamaa

Wenzako wana magonjwa makubwa kama cancer na ukimwi na wanaishi kwa matumaini ..wewe mimba unataka kujiua? ???? Ni pm tafadhali ntanunua hiyo mimba.
yani nimeshangaa sana nipo kwenye hilo tatizo mwanaume kakimbia na ninaishi na vvu wala sina ajira ila cjawaza kutoa uhai mwezi uloisha nimejifungua japo kwa tabu maana ilibidi nimpe mtu vyeti vya shule ashike anipe hela za operation , maisha yangu nategemea kuomba ili nimlee mwanangu najua nawasumbua wengi ila ntasimama tu na siwezi kukata tamaa kwaiyo kaza moyo
 
Pole dada, kumbuka kua matatizo ameumbiwa mwanadamu, hivyo tatua tatizo na kwa uwezo wa Mungu utashinda tu. Kujiua sio njia sahihi na hata Mungu amekataza mtu kujikatisha maisha, elewa kuna watu wanamatatizo makubwa kuliko yako na bado hawajakata tamaa na wanaendelea kumtumaini Mungu kuwa yatapita tu. Chukua muda wako mwingi ktk mazoezi na kuwa bize ktk kazi au kuzungumza na marafiki.
 
umebahatika kupata mimba,je ungepata UKIMWI....!!!?Rudi kanisan kamshukuru MUNGU kuna wengine hawapati hata hiyo chance ya kupata watoto...mimba sio adhabu ni kuoneshwa.
 
sijawahi kukataa mimba. We pimbi umemshauri nini na unajuaje kama unayemshauri yupo hai au ashakunywa hiyo sumu?
unauliza swali gani sasa?
We kwani unajuaje kama yuko hai au amekufa? na je kama kafa ndio unaandika pumba?, hujui humu watu wengi wenye matatizo yanayofanana wanasoma kupata ushauri? , mbona hovyo ndugu au una elimu ya std 4? kama angekua amekufa au amejiua (for that matter) kwanini ameandika kuomba ushauri? au ww mwenzetu unafanyaga maamuzi halafu unaomba ushauri baadae?
 
yani nimeshangaa sana nipo kwenye hilo tatizo mwanaume kakimbia na ninaishi na vvu wala sina ajira ila cjawaza kutoa uhai mwezi uloisha nimejifungua japo kwa tabu maana ilibidi nimpe mtu vyeti vya shule ashike anipe hela za operation , maisha yangu nategemea kuomba ili nimlee mwanangu najua nawasumbua wengi ila ntasimama tu na siwezi kukata tamaa kwaiyo kaza moyo
wewe ndio mwanamke sasa, maisha ni vita,pambana na muombe Mungu (kama unaamini kuna Mungu), atakusaidia. kukata tamaa ni dhambi kubwa. pole kwa yote
 
Sasa shoga ulivyopanua miguu bila condom ulitegemea nini...ningekupa pole km Ungekua umebakwa lkn kwa hiari yako hustahili pole we amua lolote cz utamu uliusikia wewe na shemeji..sisi hatukuwepo..kuna mambo ukifanya lzm ujiandae kwa lolote
Utasikia Lame excuse ya ilikuwa bahati mbaya
 
naomba kwny msiba wako uniwekee order ya ndizi nyama,,,,,,,,,na uwaambie waniifadhie na bia za kutosha b4 huja RIP nakuomba kumradhi
 
Mbu hivi ili lilikuwa kweli ama naota??

je huyu jack 1 yupo ama kesha jizuru??
 
Last edited by a moderator:
Jack 1 yupo fine tunasubiri mjukuu tu...

Mungu ni mwema sana kwake...........

binafsi sidhan kama kuachwa na aliyempa mimba ndio mwisho wa maisha, tena akumbuke kwamba limkwepalo lina heri.
kuna wengine waako ndoani lkn wanaish maisha magumu kiasi kwamba uhai wako uko threatened.

its good kama kajitambua na kaamua ku-carry on with her life
 
Kweli mungu ni mwema, amepitia magumu mdada wa watu I met her akanisimulia
wanaume jamani mmmh
 
Kweli mungu ni mwema, amepitia magumu mdada wa watu I met her akanisimulia
wanaume jamani mmmh

i also thank you that you were there for her............

wanaume sio ishu ni sawa na kiatu kwamba hata kama ukikipenda lazima kikukae ndo uweze kukivaa, na hata kama kikikukaa lazima uwe na fedha ya kutosha kukinunua ndio ukimiliki, istoshe kikikubana kimoja haimaanish na kingine kitakubana kazana kuchagua utapata size yako.
 
wakati wa kwenda kwa jamaa hukutuarifu, vp harakati zako za kutaka kujiua utuambie sisi..!!! we jiue kimyakmya tu km ulivyoenda kwa mshikaji
 
Kuanguka si mwisho wa safari angalia usibaki ulipoangukia bali inuka jikung'ute songa mbele . Kumbuka kujiua sio suluhisho ni mwanzo wa matatizo mengine tulia jisikize acha kuwaza mpaka kujikuta unachanganyikiwa muombe Mungu akuonyeshe njia.
 
Back
Top Bottom