Nimekusoma vizuri na pia nimeyasoma maushauri kibao ulio pewa na watu wema tu humu jf. Lakini naona vibaya nikaacha kutoa yalio moyoni mwangu pia.
Kwanza, nataka nikuambie kuwa, ulijishaua sana kwa huyo mtu. Ulimtesaaaa mpaka akawa hana tena sauti. Pengine ulimlia vyake saana bila pichu kushushwa, alipokupata, nguvu zoote zikamtoka na siku hiyo hiyo ukaupata uja uzito huo.
Alipokupata, akawa anafikiri atakukuta a virgin, kumbe loh!
Wadada mnaosoma hili, angalieni mambo yenu. Ukimtesa saana mtu halafu aje akukute huna bikra atakudharau tu. Pole zake dada sasa, usinywe hiyo sumu kabla hujamleta huyo kiumbe huku duniani. Mlete kwanza kwani aweza kuwa ndio rais wetu wa baadaye. Kama Obama mamake angekunywa sumu leo Amerika ingekuwa haina rais.
Ukiisha mleta, mwache basi pale pale hospitali, ujinywee hiyo sumu, wasamaria wema wamlee mtoto. Ujinga mwingine haupimiki hata kwa kilo. Ulipovua hiyo pichu ulidhani yule jamaa alikuwa anakufanyia meseji au> Ujinga mwingine bana Agrrrrrr