Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi

Rosemin

Member
May 21, 2023
70
532
Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa anataka kunioa.

Lakini kabla ya ndoa anataka nibebe mimba ili kupima kama nina kizazi au la kwani kuna watu wanaingia kwenye ndoa wanakaa muda mrefu bila mtoto. Nilikubali kwani alionyesha ana nia kweli, ananishirikisha kwenye mambo yake, najua kwake na kila kitu kiko vizuri.

Shida nikuwa, nimehangaika sana kupata mtoto na huyu mwanaume lakini ilishindikaa, kaka kila nikitaka kubeba mimba siku zangu za hatari hakuna kitu, akawa ni mtu wa kunikasirikia, kuniita mgumba na kuniambia tuachane.

Siku moja nikashika simu yake, nikagundua kuwa kuna mwanamke yuko naye na ana mimba yake, kumuuliza akanimbia ni kweli aliamua kuzaa huko nnje kwakua mimi sizai, katika kuhangaika hanagika niliamua kuchepuka ili nibebe mimba ya mwanaume mwingine.

Kweli nilifanikiwa, nilichepuka mara moja tu nikafanikiwa kubeba ujauzito ambao una miezi 3 sasa, nilimuambia mwanaume alifurahi akaniambia nibebe mimba nikishajifungua ndiyo ataamua muoe nani? Kaka shida inakuja hivi, kuna siku yule mwanaume ambaye nina mimba yake alinitafuta, akawa akaniuliza kama mimba ni yake au la kwani kuna mtua limuambia kaniona kiliniki!

mchumba wangu aliona hizo meseji, katika kuongea nikaamua kumuambia ukweli na sababu za mimi kufanya hivyo, shida nikuwa sasa hivi hataki tena kusikia kuhusu mimi, kaenda kwa huyo mwanamke mwingine kajitambulisha ana anataka kufunga naye ndoa, naomba ushauri ikaka nifanye nini ili kuzuia ndoa isifungwe, nampenda sana huyo Kaka na nilichepuka naye ili tu kumridhisha kwania likua anataka sana mtoto!
 
Kwani wewe ni wamajaribio? Kama anataka mwenye kizazi atafte single mama
 
Ila wewe brother unataka kutufanya sisi mafala wenzio
 
Mwambie kizazi unacho na ulizaliwa nacho!
 
Ila wewe brother unataka kutufanya sisi mafala wenzio
he..e!e!ee!! hii mbaya wallah
 
Back
Top Bottom