Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,960
Jack 1 niko tayari kukusaidia maisha yaendeleee njoo tugangamale hapa kuuza msosi na ufugaji maisha yaendeleeee, Wanaume wapo tu na wanawake wapo tu. Tunakupenda sana
Jack 1 niko tayari kukusaidia maisha yaendeleee njoo tugangamale hapa kuuza msosi na ufugaji maisha yaendeleeee, Wanaume wapo tu na wanawake wapo tu. Tunakupenda sana
kwahio alitaka akafie Guest? pale pale alipopatia mimba? Mmmhh ni lazima JF tuwe na Kitengo cha Guidance and Counselling please @max Invisible Heaven on Earth Paloma na Wadau wengine please tuipigieni debe hii Counselling Unit maana wengi ni Wagonjwa wa mawazo hapa. may be we will save some lives and save the children of the world. Kaunga uko wapi? KOKUTONA zumbemkuu MANI vijana wanaisha kwa msongo wa mawazo sijui kyanaKyoMuhaya yuko wapi, rafiki zangu na watani zetu akina Sumu Simiyu Yetu Chabruma hiki kitengo kitatusaidia sote sijui kwanini Mentor na Mr. Rocky hawajaliona hili hadi leo Baba V na Mtambuzi mko kimya akipoteza maisha huyu you never know angetuzalia Kaprofesa avae ohoooooo.
Tujitahidi kuokoa maisha ya mtu hata mmoja tu nasi tutapa thawabu mbele za MUNGU, Please Mpenzi wangu jack 1 come down unao dada na kaka wazuri sana ambao wako tayari kwa heri au shari kukusaidia.
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
jack 1 kupata uja uzito na kuwa abandoned is not the end of the world. Na kujiua is not the best solution, by doing so you will hurt many people around you including us.kwahio alitaka akafie Guest? pale pale alipopatia mimba? Mmmhh ni lazima JF tuwe na Kitengo cha Guidance and Counselling please Max Invisible Heaven on Earth Paloma na Wadau wengine please tuipigieni debe hii Counselling Unit maana wengi ni Wagonjwa wa mawazo hapa. may be we will save some lives and save the children of the world. Kaunga uko wapi? KOKUTONA zumbemkuu MANI vijana wanaisha kwa msongo wa mawazo sijui kyanaKyoMuhaya yuko wapi, rafiki zangu na watani zetu akina Sumu Simiyu Yetu Chabruma hiki kitengo kitatusaidia sote sijui kwanini Mentor na Mr. Rocky hawajaliona hili hadi leo Baba V na Mtambuzi mko kimya akipoteza maisha huyu you never know angetuzalia Kaprofesa avae ohoooooo.
Tujitahidi kuokoa maisha ya mtu hata mmoja tu nasi tutapa thawabu mbele za MUNGU, Please Mpenzi wangu jack 1 come down unao dada na kaka wazuri sana ambao wako tayari kwa heri au shari kukusaidia.
Maziko saa ngapi?
Nyalotsi come this way ....Uzi huu hapa