mutoto atakua tu hata bila ya baba....
nimekumiss shosti,mudiplomat yupo
Jaman mrejesho jack 1 bado yu hai jana nilifanya jitihada mpaka nikaonana nae alikua guest na tayari alikua ameshanunua sum niliongea nae sana mwanzo alikua analia tu lakini nilimshauri mm na aunt angu kidogo katuelewa japo hatukua na uwezo wowote wa kumsaidia ila alituelewa
Asante kwa mrejesho mkuu hali yake ikoje sasa?
Mpaka alikua poa alikua anasubiria atumiwe nauli na rafiki yake ili aende tena kwao kwani alikua guest alimfata jamaa arusha alipo mwambia tu kafika kisongo jamaa kazima cm akashindwa pa kuelekea....
JF bana, unaweza ukahisi umeingia jukwaa la watakatifu mwisho nabaki kujiuliza tu nimeingiaje
mbona sina access ya jukwaa la watakatifu.....
Jaman mrejesho jack 1 bado yu hai jana nilifanya jitihada mpaka nikaponana nae alikua guest na tayari alikua ameshanunua sum niliongea nae sana mwanzo alikua analia tu lakini nilimshauri mm na aunt angu kidogo katuelewa japo hatukua na uwezo wowote wa kumsaidia ila alituelewa
Mpaka alikua poa alikua anasubiria atumiwe nauli na rafiki yake ili aende tena kwao kwani alikua guest alimfata jamaa arusha alipo mwambia tu kafika kisongo jamaa kazima cm akashindwa pa kuelekea....
Mbona kimya! Ameshajiua kweli nini?
dah haya maisha haya,jamani fanyeni kuhakikisha mwenzetu asijekua katimiza azima yake!
kwa ukimya wake hadi sasa inaonekana ameshavuta!!!! Dah si angenipa mimi huyo mtoto na yeye mwenyewe????
Jaman mrejesho jack 1 bado yu hai jana nilifanya jitihada mpaka nikaonana nae alikua guest na tayari alikua ameshanunua sum niliongea nae sana mwanzo alikua analia tu lakini nilimshauri mm na aunt angu kidogo katuelewa japo hatukua na uwezo wowote wa kumsaidia ila alituelewa
Historia inaonyesha ana mimba na masahibu yanamfika kweli bofyaFeed back hii hapa
Mpuzi huyo,hela ya bundle unayo halaf ya kulea mtoto huna
,haya msalimie Nyerere,mwambie.wabunge wa bunge la la katiba wana akili kama yako
we ulimpataje?mpaka alikua poa alikua anasubiria atumiwe nauli na rafiki yake ili aende tena kwao kwani alikua guest alimfata jamaa arusha alipo mwambia tu kafika kisongo jamaa kazima cm akashindwa pa kuelekea....