Nina ujauzito - nimekata tamaa

Nina ujauzito - nimekata tamaa

Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
dada jack habari za mtoto na wewe?
 
Kuna watu wakatili sana DUNIANI...
Namwonea sana huruma aliyepo tumboni maana pengine labda ndo mtetezi wa taifa letu.

God, forgive us sinner with less/no fear on our face...
 
Ujue Katika haya maisha kuna Petro na kuna Yuda, chochote kinaweza kutokea.
 
We mbinafsi Sana.. Umebeba kiumbe kina future yake... Zaa kwanza ndo unywe sumu.. Ntamlea mimi..
 
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
Kwa nn unywe sumu?maisha yana thamani kubwa sana kuliko unayotaka kuyafanya,watu humu wakikueleza matatizo yao wewe huna matatizo.Kumbuka mungu amekuumba na purpose.Ukweli ni kwamba utajifungua,utapata kazi na utapata mume mwingine mzuri tu,usirush kitu chochote,take time to think.kujiua ni uoga sio ujasiri,kujiua ni kushindwa kufikiri vizuri na kuthamini vitu ulivyonavyo.Tizama wanaokuzunguuka wana ubora gani zaid yako?katika uislam,"ukitaka kujua Mungu anakupenda sana tizama walioko chini yako".
 
Back
Top Bottom