AdhimuHapa napata mkanganyiko kidogo ipi ni sahihi " adim " au " adhimu " kwa anayefahamu
Hivi haya maneno wanayatoa wapi ?Kiswahili cha kusanifiwa, hakina uasili.
Tungerudi Egypt tu ingeleta raha hata kutamka.
nimekupezaAsante mkuu, nikaona sio mbaya kukumbushana ili angalau tuanze kubadili baadhi ya maneno katika matumizi yetu ya lugha
Wanajitungia tu hayana asili.Hivi haya maneno wanayatoa wapi ?
Yote ni maneno yenye maana tofautiHapa napata mkanganyiko kidogo ipi ni sahihi " adim " au " adhimu " kwa anayefahamu
hili neno halijakaa romantic mademu zetu wataona kama tunawatukana bora tu tuendelee kumissianaabari wa JamiiForum.
Najua imezoeleka katika jamii zetu kwa rika zote (watoto,vijana,wazazi, na hata wazee) aidha wasomi au wasio wasomi kutumia neno Nimekumiss pale unapomaanisha kumkumbuka mtu hasa uwepo wake. Hata hivyo neno mbadala la kiswahili ni Kupeza hivyo basi unaweza ukwamwambia mpendwa wako kuwa Nimekupeza
Kiswahili kigumuMbona umeshangaa?!!!
Kiswahili kigumu sana... Japo tafsiri yake hapo ni KUKUHAMUHabari wa JamiiForum.