Nina swali kwa wanawake. Mpo Dar na mpo single? Kwanini?

Nina swali kwa wanawake. Mpo Dar na mpo single? Kwanini?

Kuna wakati Bora uwe single km una relationship ambayo haileweki!

Hao vijana wenyewe Bado wanajitafuta awe na mwanamke anampa nn? Ukizingatia wote Bado wanapambana?
Labda waume za watu , sa nani anataka hizo biashara za kijinga,no future kujiongezea laana tu!
Bora ukae mwenyewe
Mimi ni kijana na nimejipata, naruhusiwa kugombea Jimbo lako?
 
Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima .

Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head quarters ni huko so vifaru wapo huko.

Bado mpo karibu na zanzibar kisiwa chenye wazungu nom stop shida ipo wapi?? KWANINI MPO SINGLE??
walio single ni wale wagumu kutoa 0715
 
Jamani,dada mwinjilist umepindaaa,unakubali kondoo zikale tu mashamba ya watu🤣🤣
Sasa tuwafanye nini?🤣
Halafu zile pia ni spirit behind
%kubwa
Ukifuatilia sio km wanapenda
Kikawaida hakuna binadamu anaona ufahari kumvulia nguo Kila mwanaume, mwanamke,lzm anakuwa ana shida spiritually!

Km umepita au uko kwenye deliverence utaelewa
Na ujue unapolala na mtu unachukua maroho mengine kutoka kwao,kwake unajiumganisha na miungu ya kwao pia ni "soul tie" na hapa ndo kwenye mziki,sbb mojawapo kwann ndoa zinasumbua!
Unao/unaolewa na mtu alishatembea na watu 2,3, 5+ halafu soul zimefungamana huko mpk mje mjipate ujue kuimba haswa
 
Kuna wakati Bora uwe single km una relationship ambayo haileweki!

Hao vijana wenyewe Bado wanajitafuta awe na mwanamke anampa nn? Ukizingatia wote Bado wanapambana?
Labda waume za watu , sa nani anataka hizo biashara za kijinga,no future kujiongezea laana tu!
Bora ukae mwenyewe
Halafu mkiambiwa wanawake mnajiuza kupitia mahusiano yenu mnakataa. Umepewa access zote za kuwa na ajira kwanini uwe na expectations za kupata monetary benefits kutoka kwa mwanaume?
 
Mwanamke mzuri na pisi kali ni sawa na mteja mwenye pesa nyingi anapokwenda shopping, huwa hajui nini anataka kununua sababu anaweza kupata chochote anachotaka.

Mwanamke mzuri anajidanganya kuwa siku zote za maisha yake ataendelea kuwapagawisha wanaume kwa muonekano wake hivyo basi hahitaji kuwa na haraka ya kukubali kuolewa na mwanaume hata kama ana mapenzi ya kweli.
 
Umemtag uyo ili akuunge mkono na upuuzi wako? Sasa mimi nikasilike kisa unauza mbunye! Wewe weka price tag ijulikane unauza.. nyie malaya wote ni mbwa tu.
Dah bora upate tu ajira upumzike na sonona....kifupi hakuna mbunye ya Bure ndio maana hata dada zako huko nyumbani unaowaona sio Malaya wakija kuolewa Huwa mnatoa price tag....
 
Back
Top Bottom