Nina swali kwa wanawake. Mpo Dar na mpo single? Kwanini?

Nina swali kwa wanawake. Mpo Dar na mpo single? Kwanini?

Dah bora upate tu ajira upumzike na sonona....kifupi hakuna mbunye ya Bure ndio maana hata dada zako huko nyumbani unaowaona sio Malaya wakija kuolewa Huwa mnatoa price tag....
Umepigaje hapo 🤣🤣🤣
Wawagawe dada zao bure km hawana price tag km nao sio wafanyabiashara
 
Back
Top Bottom