Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Dar wadangaji Kila kona.
Au ana swalisha?Unaswali au Una swali?
Wanaume tunakitana nao maneno ya shughuli za Kila siku, kanisani,daladala etcKweli bora ukae single ila unauwakika ni wote kila kitongoji kweli unajua nipakubwa?
Acha wadange tu km hawana relationship zinazielewekaDar wadangaji Kila kona.
🤣🤣Na Mimi Niliwaza hivyo hivyo
🤣🤣Jmn nani tenaKwani mzee wa maandishi matatu mmeachana?! 🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Jux wa jf humjui ww 🤣🤣🤣🤣🤣Jmn nani tena
Aweeee shogaangu unataka kukataa muheshimiwa wako au Kuna jini limepita hapoMh who? Where? Which? 🤣🤣🤣
Nyie wake wenza mna majungu sana
Jamani,dada mwinjilist umepindaaa,unakubali kondoo zikale tu mashamba ya watu🤣🤣Acha wadange tu km hawana relationship zinazieleweka
Mi najua sio mh ni jamaa mmoja hivi dalali tunasaidiana kupunguziana miwasho mwilini 🤣🤣🤣Aweeee shogaangu unataka kukataa muheshimiwa wako au Kuna jini limepita hapo
Huyu tlaatlaah aliyechangamka 🤣Jamani,dada mwinjilist umepindaaa,unakubali kondoo zikale tu mashamba ya watu🤣🤣
Jini mkata kamba?🤣🤣🤣🤣wee sio kweli Lamomy mdogo wangu akipita jini mkata kamba nistue mapemaa twende zetu uzaramoni ndanindani huko tukapige albadri Hilo jini sipendi ujinga 😮😮Aweeee shogaangu unataka kukataa muheshimiwa wako au Kuna jini limepita hapo
🤣🤣🤣🤣Wainjilist wa JF wananifanya nitamani kuokokaHuyu tlaatlaah aliyechangamka 🤣
Wanatuchanganya kwa kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wainjilist wa JF wananifanya nitamani kuokoka
Tukiacha kuzunguka sana na maneno mengi wewe ungekuwa dar ungeuza kwa sh.ngapi?Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima .
Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head quarters ni huko so vifaru wapo huko.
Bado mpo karibu na zanzibar kisiwa chenye wazungu nom stop shida ipo wapi?? KWANINI MPO SINGLE??
Wanatuvurugaaaa🤔Wanatuchanganya kwa kweli 🤣🤣
Sijui kwa nini siamini, hili jiji sio la mtu kuwa single. Yaani options zote hizi unakaaje na upweke mkuu!!🙄🤔😀
Khaaa
Kwani dar ndo nini jmn?
Uwe na relationship ht ambayo haileweki ,kisa?
Bora nikae mwenyewe tu !
Tena mi ndo Niko single single yenyewe yaani🙌😀