Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,660
🤣🤣🤣🤣 Eeeeh jamani,msitufanyie hivyoWapo Dar for Funny 😁
Yani Mwanamke ukiwa Dar wewe ni chombo cha starehe ukiexpire sasa ndo unaolewa unarudi Mkoani kujenga taifa.
🤣🤣🤣🤣 Eeeeh jamani,msitufanyie hivyoWapo Dar for Funny 😁
Yani Mwanamke ukiwa Dar wewe ni chombo cha starehe ukiexpire sasa ndo unaolewa unarudi Mkoani kujenga taifa.
Unakichaa aisee na hauna akili wewe huwezi nilipa huna huo mkwanj nikiamua kukuzia hata diamond wenu hawezi ninunua aisee ujue hiloTukiacha kuzunguka sana na maneno mengi wewe ungekuwa dar ungeuza kwa sh.ngapi?
maana ulivoandika as if mapenzi biashara
Kwasababu wanaume wa Dar sifa zao zinajulikana sasa mtaolewa na kina nani kama sio wa mikoani?🤣🤣🤣🤣 Eeeeh jamani,msitufanyie hivyo
Kweli ila mwombe Mungu akuchagulie mahali pakukutaniaWanaume tunakitana nao maneno ya shughuli za Kila siku, kanisani,daladala etc
Ndo ss hakuna kitu
😆😆😆Kwasababu wanaume wa Dar sifa zao zinajulikana sasa mtaolewa na kina nani kama sio wa mikoani?
Huyo huyo dalali yaani tupo na ww hadi kiamaMi najua sio mh ni jamaa mmoja hivi dalali tunasaidiana kupunguziana miwasho mwilini 🤣🤣🤣
Huyo wako mh ndo simjui, kwani yupi unayemsema ww?!!
Tuandae mashungi yetu tu mwayaMsiniache me Nina backup huko pemba yaani litakufa jitu
🤣🤣🤣 na black glasessTuandae mashungi yetu tu mwaya
Maua vp! UnaendeleajeMpaji Mungu unaringa kama umemwona malaika
punguza maneno taja dau hakuna hela isiyolipika as long as you have the value for that amount.Unakichaa aisee na hauna akili wewe huwezi nilipa huna huo mkwanj nikiamua kukuzia hata diamond wenu hawezi ninunua aisee ujue hilo
Nyie ni wanawake so wasted your time and energy olewa upate mume acha udangajipunguza maneno taja dau hakuna hela isiyolipika as long as you have the value for that amount.
Nipo meru napalilia maharage ya kulaMaua vp! Unaendeleaje
Mbn kama mmechelewa hvNipo meru napalilia maharage ya kula
Wala huku hakuna mafurikoMbn kama mmechelewa hv
kwahyo hapa ndio umeongea kingereza? Jitahidi uende English course upuguze aibu ndogo ndogoNyie ni wanawake so wasted your time and energy olewa upate mume acha udangaji