Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,749
- 102,794
Umeanza vayolensi zako 🤣🤣😂Wapenzi wenyewe mara watuambie tuna vichwa vya duara,mara tuko kama mitungi ya gesi si tutawawezea wapi?Bora tukae single, Lamomy atatuwakilisha bungeni maana yeye ana mume anayetambulika na chama na serikali 😃😃😃
Mi nna mume dalali ila anaipenda CCM humwambii kitu.!!
Nilimuuliza mi na CCM unachagua nini?! Alichonijibu..!!!! 🤣🤣🤣
kwanza nipe shots moja nipoze koo