G
guest-1790917349
Guest
Kuna wakati Bora uwe single km una relationship ambayo haileweki!Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima .
Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head quarters ni huko so vifaru wapo huko.
Bado mpo karibu na zanzibar kisiwa chenye wazungu nom stop shida ipo wapi?? KWANINI MPO SINGLE??
Hao vijana wenyewe Bado wanajitafuta awe na mwanamke anampa nn? Ukizingatia wote Bado wanapambana?
Labda waume za watu , sa nani anataka hizo biashara za kijinga,no future kujiongezea laana tu!
Bora ukae mwenyewe