Nina swali kwa wanawake. Mpo Dar na mpo single? Kwanini?

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,850
25,193
Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima .

Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head quarters ni huko so vifaru wapo huko.

Bado mpo karibu na zanzibar kisiwa chenye wazungu nom stop shida ipo wapi?? KWANINI MPO SINGLE??
 
IMG-20240122-WA0461.jpg
 
swali lako lina mantiki, ujibiwe!!

Hata mimi hushangaa sana wanawake warembo wakikosa wenza, wakati kuna wanao miliki hadi ziada.

Oh then nimekumbuka kitu, it's always survival of the fittest😉, the weak and weakest will always suffer deprivation.
 
Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima .

Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head quarters ni huko so vifaru wapo huko.

Bado mpo karibu na zanzibar kisiwa chenye wazungu nom stop shida ipo wapi?? KWANINI MPO SINGLE??
Kwa dar hata Tanzania kwa ujumla ni asilimia ngapi ya wanaume wanafanya kazi nzuri za kwenye serikali na makampuni makubwa?

Jibu liko kwenye huu Uzi wako, Mindset kama yako ndo inafanya wadada wengi wabaki hawajaolewa, kwa kusubiria mume mwenye hela nyingi Unique Flower
 
swali lako lina mantiki, ujibiwe!!

Hata mimi hushangaa sana wanawake warembo wakikosa wenza, wakati Kuna wanao miliki hafi ziada.

Oh then nimekumbuka kitu, it's always survival of the fittest😉, the weak and weakest will always suffer deprivation.
Binafsi siamini kama hapa duniani kuna Mwanamke mrembo kimuonekano, akose mwenza, wanawake wa hivyo wanachagua sana, mara mwanaume awe na gari, nyumba, hela ,tall, dark handsome, six pack etc harakati za siri
 
Hey, sasa mpo dar namnasema asilimia nyingi mpo single why . Nampo kwenye eneo kubwa Tanzania nzima .

Ukiacha watu wa serikali. Katika vitengo mbali mbali. Kuna makampuni makubwa ambayo head quarters ni huko so vifaru wapo huko.

Bado mpo karibu na zanzibar kisiwa chenye wazungu nom stop shida ipo wapi?? KWANINI MPO SINGLE??
Kila mwanamke malaya ni singo. Inategemea anatongozwa na nani.
 
Back
Top Bottom