Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

Kuna somo ambalo linaambatana na miujiza...kwa miaka kadhaa nilikuwa nikifanya research kuhusu uhalisia wa baadhi ya vitu ambavyo hata mimi nimekuwa nikishangaa zaid,
When i will start mediating,na nikatamka mambo fulan au kuwaza jambo fulan basi uhalisia wa jambo lile hutokea.
Hata kama ni baada ya mda kupita..
Have been practicing to use the faith i have ili kuweka vitu vyangu vilivyo ndani ya ulimwengu wa ndani katika uhalisia na asilimia tisin vimetokea.
Kuna nguvu kubwa ambayo najua ukwel wanadam wengi hawajaifaham.pale mtu anapoamua kuitumia basi miracle and everything you say will happen.
Your faith may be a weapon against others,,,and your words may be a proclamation of what u need to happen..
 
Wewe una pepo la utambuzi kama waganga wa kienyeji. Inawezekana wewe ni mmoja wapo wa mitume na manabii wa uongo tunaowapinga sana. Mnakanyagisha watu mafuta wanakufa na mnafanya vitu visivyoeleweka. Kwahiyo hapa umekuja kutafuta wafuasi au?
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Jambo lingine la ajabu sana nikiwa shule ya msingi kuna kiranja alikuwa kila akiniona ananipa adhabu na kusema ukweli wakati mwingine kwakuwa wazazi sikuwa nao nilikuwa nakuja na ndala au sipo na nguo nzuri ila yule kiranja aliniwajibisha na kuniitweza utu wangu na kunidhalilisha yeye alivaa vizuri nakuwa kijana mtanashati. sitaki kuwaicha siku moja nashuka kwenye gari namkuta amevaa nguo chafu na anaosha magari kiukweli nilishituka kiasi nikaogopa kama angenijuwa japo yeye alinijuwa nakuona aibu wala hatuku salimiana.

Pia kuna siku wakati wa usiku niliamka nakuambiwa mtu fulani angefukuzwa kazi kiukweli nilikataa ile sauti nakusema kwanini miaka ilipita na lile jambo likatimia yule mtu alifukuzwa kazi kama masihara kiukweli nilishangaa sana nakuogopa.

Siwezi sahau mwaka jana 2018 ambapo alikuja mgeni ndani ya nyumba yangu na alikuja kumsalimia mtu alikuwa akituangalizia nyumba yetu. sasa mimi niliposikia ameinga ndani pasipo kumuona wala kuongea naye nikampigia simu mke wanu na kumwambi ingiza flat tv yetu ndani ajabu mke wangu akasema watajisikia vibaya maana hatukuwahi ingiza tv ndani huwa inakaa sebuleni amini usiamini mim nikamwambia mtu huyo ni mbaya hakuamini siku ya tatu mgeni akiwa hayupo fla tv yetu ikaibiwa mchana kweupe jambo ambalo sio la kawaida.
Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Tumaini El!kumbe ulilelewa tu na mlezi ina maana hukuwa na mzazi?ulipataje nguvu za kufanya tuhuma fulani ambayo wengi wana kutuhumu humu jf?????Ben saa nane yupo???au ulimtabiria kifo chake kama wengi wanavokutuhumu humu jamvini kuwa ulihusika???ISALIMIE FAMILIA YAKO KAMA UNAYO!!!!
Upo mstari huwez kuuvuka ila kwa muujiza wa Mungu. Umenielewa sasa?
 
Mungu si wa visasi wala si wachuki.Ila Mungu daima husimama na yule mnyonge anayemtegemea Yeye tu.Mimi pia kuna tukio liliwahi kutokea katika maisha yangu na lilinishangaza sana.Kipindi cha nyuma maisha yangu yalikuwa na misuko suko mingi.Kulikuwa na mchawi ambaye ni jirani yetu ambaye alikuwa akijaribu kuniharibia maisha yangu yeye na mama yangu wa kambo.Kuna Siku niliamka usiku wa manane,kisha baada ya kusali rakaa mbili,nilimuomba Mungu bila kumlenga yeyote,kua ikiwa mikosi hii inasababishwa na mtu,basi Mungu airudishe kule inapotoka.Baada kama siku kadhaa,nikiwa kibin nimelala,nilisikia fujo za akina mama nje.Nilipotoka kwenda kushuhudia kilicho kuwa kikiendelea.Wamama wote walikuwa wakikimbilia nyumbani kwa yule mchawi/mganga.Mimi sikwenda kuingia ndani bali nikategea pale nje.Wale wamama walipokuwa wakitoka nikauliza kilichokuwa kikiendelea wakaniambia kuwa mtoto wa yule mchawi/mganga amefyetuka/chizika,na alikuwa akitingisa kichwa chake huku akipiga kelele.Nilishangaa sana.Nikawa na mawazo ya huenda ikawa ni ile dua yangu.Huenda ikawa.
 
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Jambo lingine la ajabu sana nikiwa shule ya msingi kuna kiranja alikuwa kila akiniona ananipa adhabu na kusema ukweli wakati mwingine kwakuwa wazazi sikuwa nao nilikuwa nakuja na ndala au sipo na nguo nzuri ila yule kiranja aliniwajibisha na kuniitweza utu wangu na kunidhalilisha yeye alivaa vizuri nakuwa kijana mtanashati. sitaki kuwaicha siku moja nashuka kwenye gari namkuta amevaa nguo chafu na anaosha magari kiukweli nilishituka kiasi nikaogopa kama angenijuwa japo yeye alinijuwa nakuona aibu wala hatuku salimiana.

Pia kuna siku wakati wa usiku niliamka nakuambiwa mtu fulani angefukuzwa kazi kiukweli nilikataa ile sauti nakusema kwanini miaka ilipita na lile jambo likatimia yule mtu alifukuzwa kazi kama masihara kiukweli nilishangaa sana nakuogopa.

Siwezi sahau mwaka jana 2018 ambapo alikuja mgeni ndani ya nyumba yangu na alikuja kumsalimia mtu alikuwa akituangalizia nyumba yetu. sasa mimi niliposikia ameinga ndani pasipo kumuona wala kuongea naye nikampigia simu mke wanu na kumwambi ingiza flat tv yetu ndani ajabu mke wangu akasema watajisikia vibaya maana hatukuwahi ingiza tv ndani huwa inakaa sebuleni amini usiamini mim nikamwambia mtu huyo ni mbaya hakuamini siku ya tatu mgeni akiwa hayupo fla tv yetu ikaibiwa mchana kweupe jambo ambalo sio la kawaida.
Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
Mkuu tuambie raisi ajae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku juwi wala wewe hunijuwi ila kwa hilo neno umemaliza nalo litakuwa kamba itakusumbua sana mpaka utakapo ijuwa dhambi yako nakuikiri.
Huna lolote muuaji wewe.
Nilipitia thread na comments zako kwa umakini mkubwa, nikathibitisha pasipo na Shaka kuwa umehusika kupotea kwa Ben Saanane kwa 90%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ndio maana kuna kipindi ulikua unapiga mikwara sana watu na vitisho vya kijinga kijinga ndio hii nguvu ilikua inakupatia kiburi?

Kwanza sijaona chochote kinachothibitisha wewe kuwa na nguvu ya ajabu kama unavyodai, lakini mbaya zaidi hata kama ungekua nazo, unaomba msaada gani sasa?
Yaani watu wakufanyie nini? Ikiwa una nguvu za ajabu si unafanya chochote utakacho?
 
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Jambo lingine la ajabu sana nikiwa shule ya msingi kuna kiranja alikuwa kila akiniona ananipa adhabu na kusema ukweli wakati mwingine kwakuwa wazazi sikuwa nao nilikuwa nakuja na ndala au sipo na nguo nzuri ila yule kiranja aliniwajibisha na kuniitweza utu wangu na kunidhalilisha yeye alivaa vizuri nakuwa kijana mtanashati. sitaki kuwaicha siku moja nashuka kwenye gari namkuta amevaa nguo chafu na anaosha magari kiukweli nilishituka kiasi nikaogopa kama angenijuwa japo yeye alinijuwa nakuona aibu wala hatuku salimiana.

Pia kuna siku wakati wa usiku niliamka nakuambiwa mtu fulani angefukuzwa kazi kiukweli nilikataa ile sauti nakusema kwanini miaka ilipita na lile jambo likatimia yule mtu alifukuzwa kazi kama masihara kiukweli nilishangaa sana nakuogopa.

Siwezi sahau mwaka jana 2018 ambapo alikuja mgeni ndani ya nyumba yangu na alikuja kumsalimia mtu alikuwa akituangalizia nyumba yetu. sasa mimi niliposikia ameinga ndani pasipo kumuona wala kuongea naye nikampigia simu mke wanu na kumwambi ingiza flat tv yetu ndani ajabu mke wangu akasema watajisikia vibaya maana hatukuwahi ingiza tv ndani huwa inakaa sebuleni amini usiamini mim nikamwambia mtu huyo ni mbaya hakuamini siku ya tatu mgeni akiwa hayupo fla tv yetu ikaibiwa mchana kweupe jambo ambalo sio la kawaida.
Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
Umetisha mzee baba wewe ndio unaizuia corona nini isije Bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la kukusaidia, jipime ili ujue hizo nguvu ulizonazo ulizipataje, na ulizipata toka wapi.
Kama unasema ulimwachia Mungu, ni Mungu yupi, miungu wapo wengi. Ni Mungu yupi wewe unayemtegemea?.
Kama macho yako yanatoa miale ya moto, basis ujue huyo Mungu wako si mwingine bali ni Lusifer si mwingine. Mungu aliye umba mbingu na nchi, hatumii miale, au macho kutoa moto, isipokuwa malaika waovu tu.
Tatizo ulilo nalo, ni kuwaita huenda hicho lako la tatu limefunguka, au limefunguliwa bila ya wewe kuwa na taarifa yoyote. Hicho lako la tatu likifunguka, utaweza kuota au ikibidi kuona kabisa kifo cha Mtu kabla hakijatokea, pia unaweza kuona hata ghosts za watu waliokufa, na hata watu wa jamaa yako waliokufa. Vile vile utaweza kuona hata mwili wako ukiwa usungizini (Astra projection)
Angalia sana hizo nguvu ulizonazo zitakuelekeza katika uuaji na pia wazimu, hasa malaika wabaya watakapoumiliki kabisa mwili wako. Hutakuwa na njia ya kutokea isipokuwa kujiua au kuuwawa na halaiki kama mchawi.
Unaonaje kwa mfano ukimwambia rafiki kuwa mke wake aliye na mimba kuwa adakufa wakati anajiungua na ikatokea hivyo, je huyo rafiki yako atakuchukuliaje wewe, rafiki mwema, ama mchawi?.
Kwa tarifa yako, wewe umepagawa(possessed), na roho ngeni ya uuguzi. Hivyo jitahidi kulifunga hilo jicho lako la tatu, au jiandae kwa matokeo ya ndoto na maono yako.
Wengi wenye hali kama yako waliishia kuwa waokota makopo, au waliuliwa na jamii kama wachawi. Take care.
Umefafanua vizuri kasoro kwenye kushauri kidogo umelalia upande mmoja.

Zama kwa kina jiulize gunduzi za mambo mbali mbali zimetokana na nini? Utaangukia kwenye 'jicho la tatu'.

Nafikiri anahitahitaji msaada wa kuweza kujiongoza na kuweza kusaidia jamii pale inapobidi. Watu wa aina yake wapo kwenye jamii zoote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika zama hizi za ukweli na uwazi kila mtu ataje nguvu zake ili tujue nani mkali
 
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Jambo lingine la ajabu sana nikiwa shule ya msingi kuna kiranja alikuwa kila akiniona ananipa adhabu na kusema ukweli wakati mwingine kwakuwa wazazi sikuwa nao nilikuwa nakuja na ndala au sipo na nguo nzuri ila yule kiranja aliniwajibisha na kuniitweza utu wangu na kunidhalilisha yeye alivaa vizuri nakuwa kijana mtanashati. sitaki kuwaicha siku moja nashuka kwenye gari namkuta amevaa nguo chafu na anaosha magari kiukweli nilishituka kiasi nikaogopa kama angenijuwa japo yeye alinijuwa nakuona aibu wala hatuku salimiana.

Pia kuna siku wakati wa usiku niliamka nakuambiwa mtu fulani angefukuzwa kazi kiukweli nilikataa ile sauti nakusema kwanini miaka ilipita na lile jambo likatimia yule mtu alifukuzwa kazi kama masihara kiukweli nilishangaa sana nakuogopa.

Siwezi sahau mwaka jana 2018 ambapo alikuja mgeni ndani ya nyumba yangu na alikuja kumsalimia mtu alikuwa akituangalizia nyumba yetu. sasa mimi niliposikia ameinga ndani pasipo kumuona wala kuongea naye nikampigia simu mke wanu na kumwambi ingiza flat tv yetu ndani ajabu mke wangu akasema watajisikia vibaya maana hatukuwahi ingiza tv ndani huwa inakaa sebuleni amini usiamini mim nikamwambia mtu huyo ni mbaya hakuamini siku ya tatu mgeni akiwa hayupo fla tv yetu ikaibiwa mchana kweupe jambo ambalo sio la kawaida.
Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
wewe ni dini gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna haja ya kuogopa kama tumaini lako liko kwa Mungu wa kweli,hiyo ni karama ambayo Mungu ameiweka ndani yako,na ukiendelea kuwa karibu naye atakufunulia mambo makuu zaidi na ya ajabu...
 
Niliona Rais ajaye niJoseph Pomebe Magufuli na kama moderator anaweza weka post zangu nilipost kabla yaku chaguliwa kuwa Rais wa tano wa jamuhuri ya Tanzania kweli ikatokea.

Tarehe 13/03/2016 nilitabiri chadema itasambaratika leo 2020 imetimia neno ambalo wengi waliniona kama mtu sijielewi au kujitambuwa ila yametimia.. Naona yasio onekana nakuyasema yakatokea.

Nilipo soma post za kijana anaitwa Ben Sanane jambo likanijia kumshauri asipost mambo yanavuka mipaka ya uwandishi wake nilisema kwa nia njema kwa aina ile ya uwandishi uwenda ingetokea siku asipost tena jambo hili limetokea na wengi wanao soma ile post wanaona kama mm ni mtu mbaya na hatari sana ila ukweli nikwamba niliona ktk roho ben kunasiku asingerud kupost na ikawa hivyo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
Aiseee!
 
Sali sana mkuu maana mwisho wa siku utajiona umepatw na jambo baya na likakutokea kweli huyo ni ibilisi anafany kaz ndan yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom