Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

Una nguvu za hatari zilizo nyuma yako aidha pepo au za asili, iko siku zitakuja jitokeza zijidhihirishe nn asili yake mapepo au karama za mungu baba...tatizo muda tu.
 
Jaribu kuvuka mto kwa kuyakanyaga maji ili uzi test zaidi.
 
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
Mungu akuongoze
 
Hili ni tangazo la kusaka wafuasi,kuna kidhehebu kinanukia hapa
 
Mkuu naomba useme"mimi ndo Rais ajaye" alafu tuone kama 2020 utatoboa kwa Magu ili tukujue
 
Mkuu kumbe watu wanamatukio yanayofanana.Mimi siwezi adhithia kwakweli,lakini tuna mambo yanayofanana sana.ila tumuachie mungu.sisi sio wachawi.
 
Unaongozwa na mapepo,Mashetani yanakutumia. MUNGU hataangamiza watu wake eti kwa sababu umetofautiana nao wewe...MUNGU ni wa wote wewe.
Huogopi nguvu za Ajabu wewe? Shauri yako.... Tafadhali mtoa mada na nguvu za ajabu tuondolee JIWE hili la ajabu..
 
Utakuwa unatumiwa na aidha;
1. Mungu
2. Mashetani AU
3. Asili yako.

Nasema hivyo kwa sababu kila mtu ndani yake anazo nguvu (inner energies) ambazo zinapokuwa active humsababisha kuona, kuwaza, kuhisi, kusikia na hata kutenda mambo yasiyo ya kawaida.
CHANZO cha nguvu zote ni MWENYEZI MUNGU na ndiye aliyetuumba na hizo nguvu, lkn matumizi ya nguvu hizo hutegemeana na mahali wewe umejikita kihisia au kiimani.
Kama unaamini ktk mambo ya giza giza au hujawekwa wakfu na Mungu (kuitwa kumtumikia) basi unatumiwa na mizimu ya ukoo au kabila lenu. Kama umeitwa na Mungu umtumikie basi Roho wake atakutumia na kama unaamini sana ktk inner energies na kuna vitu unafanya kwa kujua au bila kujua, basi umeamsha baadhi ya 'energy wheels' au chakra na ndio maana yanatokea hayo.

Zaidi sana kwako kinachoonekana ni hicho cha kutumiwa na hizo spirits of ancestors au ni psychic abilities within you zimeamshwa na hasa third eye chakra (Ajna) au hata crown chakra.
 
Utakuwa unatumiwa na aidha;
1. Mungu
2. Mashetani AU
3. Asili yako.

Nasema hivyo kwa sababu kila mtu ndani yake anazo nguvu (inner energies) ambazo zinapokuwa active humsababisha kuona, kuwaza, kuhisi, kusikia na hata kutenda mambo yasiyo ya kawaida.
CHANZO cha nguvu zote ni MWENYEZI MUNGU na ndiye aliyetuumba na hizo nguvu, lkn matumizi ya nguvu hizo hutegemeana na mahali wewe umejikita kihisia au kiimani.
Kama unaamini ktk mambo ya giza giza au hujawekwa wakfu na Mungu (kuitwa kumtumikia) basi unatumiwa na mizimu ya ukoo au kabila lenu. Kama umeitwa na Mungu umtumikie basi Roho wake atakutumia na kama unaamini sana ktk inner energies na kuna vitu unafanya kwa kujua au bila kujua, basi umeamsha baadhi ya 'energy wheels' au chakra na ndio maana yanatokea hayo.

Zaidi sana kwako kinachoonekana ni hicho cha kutumiwa na hizo spirits of ancestors au ni psychic abilities within you zimeamshwa na hasa third eye chakra (Ajna) au hata crown chakra.
Unakarama kubwa sana ya MAONO. Sema tu shetani anaituitumia kwa malengo yake mabaya. Inatakiwa ujisafishe kiroho ili uwe mtu wa kutumika vizuri na Malaika katika kuwalinda binadamu wenzako dhidi ya mitego na hila mbaya za shetani. Hii itajidhihirisha tu kama una alama hii hapa chini kwenye kidole chako cha pete katika mkono wako wa kushoto
images-12.jpg
 
Nimeji
Jambo la kukusaidia, jipime ili ujue hizo nguvu ulizonazo ulizipataje, na ulizipata toka wapi.
Kama unasema ulimwachia Mungu, ni Mungu yupi, miungu wapo wengi. Ni Mungu yupi wewe unayemtegemea?.
Kama macho yako yanatoa miale ya moto, basis ujue huyo Mungu wako si mwingine bali ni Lusifer si mwingine. Mungu aliye umba mbingu na nchi, hatumii miale, au macho kutoa moto, isipokuwa malaika waovu tu.
Tatizo ulilo nalo, ni kuwaita huenda hicho lako la tatu limefunguka, au limefunguliwa bila ya wewe kuwa na taarifa yoyote. Hicho lako la tatu likifunguka, utaweza kuota au ikibidi kuona kabisa kifo cha Mtu kabla hakijatokea, pia unaweza kuona hata ghosts za watu waliokufa, na hata watu wa jamaa yako waliokufa. Vile vile utaweza kuona hata mwili wako ukiwa usungizini (Astra projection)
Angalia sana hizo nguvu ulizonazo zitakuelekeza katika uuaji na pia wazimu, hasa malaika wabaya watakapoumiliki kabisa mwili wako. Hutakuwa na njia ya kutokea isipokuwa kujiua au kuuwawa na halaiki kama mchawi.
Unaonaje kwa mfano ukimwambia rafiki kuwa mke wake aliye na mimba kuwa adakufa wakati anajiungua na ikatokea hivyo, je huyo rafiki yako atakuchukuliaje wewe, rafiki mwema, ama mchawi?.
Kwa tarifa yako, wewe umepagawa(possessed), na roho ngeni ya uuguzi. Hivyo jitahidi kulifunga hilo jicho lako la tatu, au jiandae kwa matokeo ya ndoto na maono yako.
Wengi wenye hali kama yako waliishia kuwa waokota makopo, au waliuliwa na jamii kama wachawi. Take care.
Nimejifunza kitu mkuu...!
 
"Katika hali ya Mh Rais kutaka kusikia kilio cha watu wake katika jiji fulani kubwa... Team x inafanya kazi nzito kumletea mkuu taarifa kamili itakayosaidia kuwapa mkoa fulani mkubwa...

Wakuu hao wana angaziwa kulamba jiji hilo kubwa Tanzania wakati aliekuwepo akipewa kazi mpya....."

Huu ni moja ya tabiri zako lkn mpk leo haujatimia ili kuthibitisha hizo nguvu zako za ajabu

Au una muda maalum wa wiki, mwezi, au miaka kwa utabiri wako kutimia ili tuendelee kusubiri

Maana tutathibitisha ukweli wako kupitia haya uliyosema kuliko hizo story ambazo hatuzijui
Utabiri huu unakaribia kuliko unavyo fikiri leo 31 Aug2+18
 
Back
Top Bottom