Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,566
2,000
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Jambo lingine la ajabu sana nikiwa shule ya msingi kuna kiranja alikuwa kila akiniona ananipa adhabu na kusema ukweli wakati mwingine kwakuwa wazazi sikuwa nao nilikuwa nakuja na ndala au sipo na nguo nzuri ila yule kiranja aliniwajibisha na kuniitweza utu wangu na kunidhalilisha yeye alivaa vizuri nakuwa kijana mtanashati. sitaki kuwaicha siku moja nashuka kwenye gari namkuta amevaa nguo chafu na anaosha magari kiukweli nilishituka kiasi nikaogopa kama angenijuwa japo yeye alinijuwa nakuona aibu wala hatuku salimiana.

Pia kuna siku wakati wa usiku niliamka nakuambiwa mtu fulani angefukuzwa kazi kiukweli nilikataa ile sauti nakusema kwanini miaka ilipita na lile jambo likatimia yule mtu alifukuzwa kazi kama masihara kiukweli nilishangaa sana nakuogopa.

Siwezi sahau mwaka jana 2018 ambapo alikuja mgeni ndani ya nyumba yangu na alikuja kumsalimia mtu alikuwa akituangalizia nyumba yetu. sasa mimi niliposikia ameinga ndani pasipo kumuona wala kuongea naye nikampigia simu mke wanu na kumwambi ingiza flat tv yetu ndani ajabu mke wangu akasema watajisikia vibaya maana hatukuwahi ingiza tv ndani huwa inakaa sebuleni amini usiamini mim nikamwambia mtu huyo ni mbaya hakuamini siku ya tatu mgeni akiwa hayupo fla tv yetu ikaibiwa mchana kweupe jambo ambalo sio la kawaida.
Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Niliona Rais ajaye niJoseph Pomebe Magufuli na kama moderator anaweza weka post zangu nilipost kabla yaku chaguliwa kuwa Rais wa tano wa jamuhuri ya Tanzania kweli ikatokea.

Tarehe 13/03/2016 nilitabiri chadema itasambaratika leo 2020 imetimia neno ambalo wengi waliniona kama mtu sijielewi au kujitambuwa ila yametimia.. Naona yasio onekana nakuyasema yakatokea.

Nilipo soma post za kijana anaitwa Ben Sanane jambo likanijia kumshauri asipost mambo yanavuka mipaka ya uwandishi wake nilisema kwa nia njema kwa aina ile ya uwandishi uwenda ingetokea siku asipost tena jambo hili limetokea na wengi wanao soma ile post wanaona kama mm ni mtu mbaya na hatari sana ila ukweli nikwamba niliona ktk roho ben kunasiku asingerud kupost na ikawa hivyo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
Sasa nena neno kuhusu Magufuli na Polisi wa Tanzania, yasipotokea ujue unaota tu ndoto za mchana
 
Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
3,775

Hizo nguvu sio zako........huwezi kuwa na kitu chako ukakiogopa
 
brobiz

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
325
250
Hayo yako cha mtoto, mara nyingi wenye nguvu za ajabu ni nadra sana kutoa Siri zao ila usipende sana ku expose ivo vitu otherwise nguvu zote zitapotea!
 
Lumoge

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
436
500
Jambo la kukusaidia, jipime ili ujue hizo nguvu ulizonazo ulizipataje, na ulizipata toka wapi.
Kama unasema ulimwachia Mungu, ni Mungu yupi, miungu wapo wengi. Ni Mungu yupi wewe unayemtegemea?.
Kama macho yako yanatoa miale ya moto, basis ujue huyo Mungu wako si mwingine bali ni Lusifer si mwingine. Mungu aliye umba mbingu na nchi, hatumii miale, au macho kutoa moto, isipokuwa malaika waovu tu.
Tatizo ulilo nalo, ni kuwaita huenda hicho lako la tatu limefunguka, au limefunguliwa bila ya wewe kuwa na taarifa yoyote. Hicho lako la tatu likifunguka, utaweza kuota au ikibidi kuona kabisa kifo cha Mtu kabla hakijatokea, pia unaweza kuona hata ghosts za watu waliokufa, na hata watu wa jamaa yako waliokufa. Vile vile utaweza kuona hata mwili wako ukiwa usungizini (Astra projection)
Angalia sana hizo nguvu ulizonazo zitakuelekeza katika uuaji na pia wazimu, hasa malaika wabaya watakapoumiliki kabisa mwili wako. Hutakuwa na njia ya kutokea isipokuwa kujiua au kuuwawa na halaiki kama mchawi.
Unaonaje kwa mfano ukimwambia rafiki kuwa mke wake aliye na mimba kuwa adakufa wakati anajiungua na ikatokea hivyo, je huyo rafiki yako atakuchukuliaje wewe, rafiki mwema, ama mchawi?.
Kwa tarifa yako, wewe umepagawa(possessed), na roho ngeni ya uuguzi. Hivyo jitahidi kulifunga hilo jicho lako la tatu, au jiandae kwa matokeo ya ndoto na maono yako.
Wengi wenye hali kama yako waliishia kuwa waokota makopo, au waliuliwa na jamii kama wachawi. Take care.
Aisee.. WaTz
 
Cherenganya

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
2,117
2,000
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Jambo lingine la ajabu sana nikiwa shule ya msingi kuna kiranja alikuwa kila akiniona ananipa adhabu na kusema ukweli wakati mwingine kwakuwa wazazi sikuwa nao nilikuwa nakuja na ndala au sipo na nguo nzuri ila yule kiranja aliniwajibisha na kuniitweza utu wangu na kunidhalilisha yeye alivaa vizuri nakuwa kijana mtanashati. sitaki kuwaicha siku moja nashuka kwenye gari namkuta amevaa nguo chafu na anaosha magari kiukweli nilishituka kiasi nikaogopa kama angenijuwa japo yeye alinijuwa nakuona aibu wala hatuku salimiana.

Pia kuna siku wakati wa usiku niliamka nakuambiwa mtu fulani angefukuzwa kazi kiukweli nilikataa ile sauti nakusema kwanini miaka ilipita na lile jambo likatimia yule mtu alifukuzwa kazi kama masihara kiukweli nilishangaa sana nakuogopa.

Siwezi sahau mwaka jana 2018 ambapo alikuja mgeni ndani ya nyumba yangu na alikuja kumsalimia mtu alikuwa akituangalizia nyumba yetu. sasa mimi niliposikia ameinga ndani pasipo kumuona wala kuongea naye nikampigia simu mke wanu na kumwambi ingiza flat tv yetu ndani ajabu mke wangu akasema watajisikia vibaya maana hatukuwahi ingiza tv ndani huwa inakaa sebuleni amini usiamini mim nikamwambia mtu huyo ni mbaya hakuamini siku ya tatu mgeni akiwa hayupo fla tv yetu ikaibiwa mchana kweupe jambo ambalo sio la kawaida.
Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Niliona Rais ajaye niJoseph Pomebe Magufuli na kama moderator anaweza weka post zangu nilipost kabla yaku chaguliwa kuwa Rais wa tano wa jamuhuri ya Tanzania kweli ikatokea.

Tarehe 13/03/2016 nilitabiri chadema itasambaratika leo 2020 imetimia neno ambalo wengi waliniona kama mtu sijielewi au kujitambuwa ila yametimia.. Naona yasio onekana nakuyasema yakatokea.

Nilipo soma post za kijana anaitwa Ben Sanane jambo likanijia kumshauri asipost mambo yanavuka mipaka ya uwandishi wake nilisema kwa nia njema kwa aina ile ya uwandishi uwenda ingetokea siku asipost tena jambo hili limetokea na wengi wanao soma ile post wanaona kama mm ni mtu mbaya na hatari sana ila ukweli nikwamba niliona ktk roho ben kunasiku asingerud kupost na ikawa hivyo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
Mi nimevutika na pale ulipovuliwa nguo alafu MFUNIKO WA ASALI ULACHANWA. Jinsi yako ni gani?

Mshana Jr. nzo kunu hena mburi
 
martinezstavo

JF-Expert Member
Jun 30, 2020
653
1,000
Sema kitu kuhusu ujio wa TL na kuhusu kuchaguliwa kwake kuiongoza Tanzania katka Ngazi ya uraisi Tuone kama hizo nguvu kweli zipo ili tufanye mpango wa kufungua kanisa nabii wangu
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
1,745
2,000
Kuna mlokole mwenzako ni mzinzi kinoma nae alikua anaaminisha wat et huwa anaongea na Mungu ana kwa ana na akutanaga na majin usik ila yanamuogpa, Mara aseme anaoteshwa full kuongea ugoro na ww unaenda kuwa chiz
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,075
2,000
Unayaona anayofanya jiwe lakini? Hebu fanya kama unachukia hivi afu tuone.
 
liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
950
500
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Jambo lingine la ajabu sana nikiwa shule ya msingi kuna kiranja alikuwa kila akiniona ananipa adhabu na kusema ukweli wakati mwingine kwakuwa wazazi sikuwa nao nilikuwa nakuja na ndala au sipo na nguo nzuri ila yule kiranja aliniwajibisha na kuniitweza utu wangu na kunidhalilisha yeye alivaa vizuri nakuwa kijana mtanashati. sitaki kuwaicha siku moja nashuka kwenye gari namkuta amevaa nguo chafu na anaosha magari kiukweli nilishituka kiasi nikaogopa kama angenijuwa japo yeye alinijuwa nakuona aibu wala hatuku salimiana.

Pia kuna siku wakati wa usiku niliamka nakuambiwa mtu fulani angefukuzwa kazi kiukweli nilikataa ile sauti nakusema kwanini miaka ilipita na lile jambo likatimia yule mtu alifukuzwa kazi kama masihara kiukweli nilishangaa sana nakuogopa.

Siwezi sahau mwaka jana 2018 ambapo alikuja mgeni ndani ya nyumba yangu na alikuja kumsalimia mtu alikuwa akituangalizia nyumba yetu. sasa mimi niliposikia ameinga ndani pasipo kumuona wala kuongea naye nikampigia simu mke wanu na kumwambi ingiza flat tv yetu ndani ajabu mke wangu akasema watajisikia vibaya maana hatukuwahi ingiza tv ndani huwa inakaa sebuleni amini usiamini mim nikamwambia mtu huyo ni mbaya hakuamini siku ya tatu mgeni akiwa hayupo fla tv yetu ikaibiwa mchana kweupe jambo ambalo sio la kawaida.
Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Niliona Rais ajaye niJoseph Pomebe Magufuli na kama moderator anaweza weka post zangu nilipost kabla yaku chaguliwa kuwa Rais wa tano wa jamuhuri ya Tanzania kweli ikatokea.

Tarehe 13/03/2016 nilitabiri chadema itasambaratika leo 2020 imetimia neno ambalo wengi waliniona kama mtu sijielewi au kujitambuwa ila yametimia.. Naona yasio onekana nakuyasema yakatokea.

Nilipo soma post za kijana anaitwa Ben Sanane jambo likanijia kumshauri asipost mambo yanavuka mipaka ya uwandishi wake nilisema kwa nia njema kwa aina ile ya uwandishi uwenda ingetokea siku asipost tena jambo hili limetokea na wengi wanao soma ile post wanaona kama mm ni mtu mbaya na hatari sana ila ukweli nikwamba niliona ktk roho ben kunasiku asingerud kupost na ikawa hivyo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
Umenipa neno zuri la Aina za maintanance nne tupatie ahadi nyingine leo mfano trh 18 Oct yanga na Simba nani atafungwa
Trh 28 October uchaguzi utakuwaje wabunge wangapi kwa chama na rais tupe percentage tu
Tuthibitishe hayo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom