Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

Mkuu hapo kwenye macho kutoa miale ya moto naona unafanana na Merlin....Hebu waone bongo movies unaweza kufufua tasnia ya filamu nchini
Imeniijia imagination ya bongo movie alfu wastara ndiyo anatoa iyo miale [emoji23] [emoji23]
 
Sasa unaonaje ukatumia hizo nguvu kukemea maovu yanayifanywa na hawa mazandiki waliopo serikalini?

Hawa wanaoua, kutesa,kujeruhi kwa silaha za moto, kuteka na kupoteza watu wasio na hatia. Hebu tumia nguvu hizo kufanya jambo lenye faida kwa Taifa hili tafadhali.
 
Jamani miaka 20 imepita naninachokiona kinanitisha.

Tukio la kwanza nipale nikiwa shule ya msingi miaka 20 iliopita kuna kijana alinivua nguo nakunichania nguo ya ndani. Jambo lile alikuniacha na furaha nililia sana nakumshitakia kwa Mungu leo hii nasikia yule kijana na yeye alichanganyikiwa na kuvuwa nguo mtaani nakutembea uchi. Nikashituka sana.

Tukio jingine nilimuota mtu amekufa kifo kibaya sana nikaona ndoto siku nikasikia sauti inaniambia mwambie akifa utadaiwa basi mimi kwa roho ya ugumu nikamwambia utakufa acha njia yako.. Same year before end akafa kifo kibaya kwa kugongwa gar na ubongo kupasuka airport.

Nikiwa shuleni A level akatokea mtu ananitishia maisha nikakosa amani sana. Siku moja muda wa jioni nikakutana naye uso kwa uso ajabu nikaona machoyangu yanatoa miale ya moto nakusema maneno makali kwa yule kijana kirohoni pasipo sikia kweli haikupita week jamaa akafukuzwa shule kama mbwa.

Mtu mmoja alie kuwa mlez wetu maanasikuwa na wazazi alitutesa kweli jaman eee yaniachoz yanatisha leo hii hadi namuonea huruma.

Kazini kwangu sikumoja nafika kiongoz wa ngazi yajuu akanipigia sim nakuniambia niache kaz ama atanishusha daraja maana amechoka na mim mimi nikawa mnyonge na kujiuliza nimefanya nini sikumjibu nikamkabidh kwa Mungu ninavyo andika hali yake yule boss inatia huruma yeye ndie alishushwa na ni yeye anatamani acha kazi inatisha sana.

Mh Rais kabla yakuwa rais wala kujulikana niliandika Rais ajaye na kweli ndie hyu tulie nae.

Nilipata kazi kwakusimama kwenye jengo la kampuni kwakusema nataka kufanya kazi hapa jaman same job nikapata kwa miujiza.

Mtu mmoja akatengeneza zengwe nifukuzwe kazi kwakuwa yeye alikuwa na uwezo na anajuwana na wakubwa kulichotokea mpaka kesho nashangaa yeye na kundi lake wakafukuzwa kazi mm nikabaki.

Nilimwambia mtu wangazi ya chini utapandacheo miaka ikapita siku na shangaa amepanda cheo japo yeye alikuwa hataki. Lakini akapanda cheo.

Nikimwambia mtu acha usiende hivi kweli akikataa lazima yampate madhara.

Najiona sina nguvu zakawaida maana siku moja nilisimama kwenye shamba la wazazi wangu lilo dhulumiwa miaka 24 iliopita nakusema maneno mazito kiasi nikaapa kama shamba lile tusingerudishiwa majira ya mchana kweupe basi Mungu wangu angekuwa sio Mungu namwamini. Jaman amini usiamini mchana kweupe saa saba yule mvamizi alitolewa kwenye ile nyumba mtaa mzima ukakumbuka maneno yangu nakusema yule kijana sio wakawaida.

Sijasahau kuandaa karam nzito ikulu na wakati wakubwa wakila wakasema mimi ndio nimeanda wakasifia sana sijajuwa maana ya ile ndoto mpaka leo.

Ninanguvu za ajabu naomba msaada
Je unazitii Amri za Mungu?
 
Ebu ongea kwa jabza kuhusu mimi kua nitakua tajiri dunia nzima zaidi ua hao waliotangulia..nasubr nguvu zako tafadhali
 
Jambo la kukusaidia, jipime ili ujue hizo nguvu ulizonazo ulizipataje, na ulizipata toka wapi.
Kama unasema ulimwachia Mungu, ni Mungu yupi, miungu wapo wengi. Ni Mungu yupi wewe unayemtegemea?.
Kama macho yako yanatoa miale ya moto, basis ujue huyo Mungu wako si mwingine bali ni Lusifer si mwingine. Mungu aliye umba mbingu na nchi, hatumii miale, au macho kutoa moto, isipokuwa malaika waovu tu.
Tatizo ulilo nalo, ni kuwaita huenda hicho lako la tatu limefunguka, au limefunguliwa bila ya wewe kuwa na taarifa yoyote. Hicho lako la tatu likifunguka, utaweza kuota au ikibidi kuona kabisa kifo cha Mtu kabla hakijatokea, pia unaweza kuona hata ghosts za watu waliokufa, na hata watu wa jamaa yako waliokufa. Vile vile utaweza kuona hata mwili wako ukiwa usungizini (Astra projection)
Angalia sana hizo nguvu ulizonazo zitakuelekeza katika uuaji na pia wazimu, hasa malaika wabaya watakapoumiliki kabisa mwili wako. Hutakuwa na njia ya kutokea isipokuwa kujiua au kuuwawa na halaiki kama mchawi.
Unaonaje kwa mfano ukimwambia rafiki kuwa mke wake aliye na mimba kuwa adakufa wakati anajiungua na ikatokea hivyo, je huyo rafiki yako atakuchukuliaje wewe, rafiki mwema, ama mchawi?.
Kwa tarifa yako, wewe umepagawa(possessed), na roho ngeni ya uuguzi. Hivyo jitahidi kulifunga hilo jicho lako la tatu, au jiandae kwa matokeo ya ndoto na maono yako.
Wengi wenye hali kama yako waliishia kuwa waokota makopo, au waliuliwa na jamii kama wachawi. Take care.
 
Mtumie meseji yule taahira pale umwambie aache mambo yake haya anayotufanyia tuone kama kweli atabadilika!!
 
Hizo nguvu zako tunaomba uzitumie kutuondolea hilo jitu linaloitwa Chadema hapa nchini .

Linaharibu vijana wetu wanakuwa watu wa kulialia bila sababu .
Juzi hapa limesababisha kifo cha mwanafunzi asiyekuwa na hatia kwa kuhamasisha maandamano haramu.
Wewe punga wa kisukuma
 
Ufipa wamepunga kwa nyuma
57afa2ba18141c1a641f50ec0250474a.jpg
hapo ulikuwa unafanya nn???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom