Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

mimi ni mjenzi
kwa 30n hutoboi kwa nyumba ya vyumba 3 vya kulala
apo utajenga utapaua plasta grill
blandering floor ya chini

utakwama vitu vifuatavyo
aluminium windows
tiles
skimming


nichek 0743 257 669 nikupe raman na ujenzi
 
Ungekuwa na kiwanja 50m ingekamilisha kila kitu kwa ramani hii.
Kw 35m nafanya yafuatayo
1:Kujenga boma na kupaua
2:Eletrical & Plumbing installation phase 1
3:Grill na Frame za milango
4Plasta ndani na nje.

Kwa Ushauri zaidi, Ramani pamoja na makadirio yake, Usimamizi wa ujenzi pamoja na Ujenzi tuwasiliane kwa no. 0621021782
 

Attachments

  • 1_4 - Photo.jpg
    1_4 - Photo.jpg
    1.6 MB · Views: 17
  • 1_5 - Photo.jpg
    1_5 - Photo.jpg
    1.8 MB · Views: 15
  • 1_9 - Photo.jpg
    1_9 - Photo.jpg
    1.6 MB · Views: 17
  • 1_10 - Photo.jpg
    1_10 - Photo.jpg
    1.6 MB · Views: 19
Mkuu......
Kama duniani tunapita, kwanini ujenge njiani...🙄
Ebu fanya uje hapa Mwika, tuikate mabawa hiyo noti kabla haija peoeruka...😋
 
Malamba mawili,kifuru na kinyerezi

Kwanza, haya maeneo ya milima, msingi tu utakuchukua pesa nyingi...

Pili, haya maeneo kupata kiwanja kwa bei uliyoitaja unaongeza nafasi ya kuuziwa jumba bovu...
 
Inawezekana au haiwezekani,
Jibu linategemea design ya nyumba ya unayoitaka.
 
Bora ununue nyumba achana na wanaondekeza habari za mikosi ya nyumba za kununua
 
Nenda site kiongozi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Usijinyime sana, usisahau kujenga afya kwanza.
Unaweza kuona ushauri wa kijinga.. ila afya ikisumbua
 
Wakuu hbr za majukumu,

Nina milioni 50, nataka ninunue kiwanja milionin 15, afu milion 30, nijenge nyumba vyumba vitatu,
Vipi wadau ntatoboa kweli?
Bila mbwembwe nyingi za usasa na usimamizi sahihi ukiwa na fundi kweli na sio fundi maiko unatoboa boss.
 
Back
Top Bottom