Utapeli mpya wa Madalali wa Nyumba Dar es salaam

Utapeli mpya wa Madalali wa Nyumba Dar es salaam

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,020
Reaction score
26,199
Madalali wa nyumba jijini Dar es salaam wamekuwa matapeli kwa miaka, sasa wamewafundisha wenzao wa mikoani kama Kilimanjaro, Arusha , Mwanza, Mbeya na Dodoma. Madalali ndio wamekuwa wakipandisha bei ya upangaji,

DALALI: Mzee hii nyumba yako ipo lokesheni nzuri ila sasa, ikate geti tatu, alfu vyumba vikubwa sana , chumba kimoja kata vitoke viwili na choo ndai kiite self ya upande mmoja.

Mwenye Nyumba :- Sawa bosi , nakata, anakata nyumba ambayo kitanda cha 6 kwa sita hakiingii., anatumia gharama kubwa tena bila kibali cha manispaa maan ramani nhapeleki.

DALALI: mzee , hii nyumba tuongeze kodi , ilikuwa laki 3 sasa iwe laki 5 kwa upande, mimi nachukua ya mwezi mmoja ila sina risiti wa EFD.

MWNYE NYUMBA: Anamlipa dalali kodi ya mwezi , then dalali anaruydi kwa mpangaji anachukia kodi ya mwezi mmoja wanaend akwa wakili wanandikisha mkataba wanamlipa elfu hamsini tu.

Wenye nyumba wanazifumua, zinakuwa kama stoo alafu wanaita masta, haya si makazi bora kabisa.
Ukiona kiwanja kimepostiwa kwenye mrandao, kinauzwa milioni 10, dalali "A" ataweka 15, mwengine 20 na mwengine 30 na ukitakakukinunua unakuta katikati kuna madalali 5 na kila mmoja anataka hela ya udalali.

WATAALAMU WA IT wanatengeneza APPs ambazo wenye nyumba watakuwa wanauza na kununa na kupanga kwenye. mfumo.

Nyumba
 
Back
Top Bottom