Nina miaka mitano sijala UGALI

ugali labda itokee nimetembelea ndugu wakapika nitakula ,bahati mbaya sitembelei mtu mwaka unakatika mmoja au miwili .Sijawahi kuupenda na sili wala siukumbuki
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.

"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Baba yako kala sana huo ugali hadi ukazaliwa na akadunda miaka 130, wewe mla chipsi kuku kugusa miaka 80 tu ni mbingu na ardhi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.

"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
We ni mwendo wa chips tuu!
 
Kweli mkuu na nimebadilika I'm looking young than my real age
Ugali wa Mahindi hauna afya kwa akili, unaharibu akili, unadumaza akili.
Kama ni kula ugali basi ilipaswa kama ni ugali iwe Samski na Ygali, siyo Ugali na Samaki, yaani Samaki mmoja kwa vitonge vitatu
 
ugali wa wazee wetu ulikuwa wa dona,na hakukua na kuku wasiowika wala mayai yasiyorutubishwa
 
Mi nikikaa wiki sijala ugali nahis kama sina nguvu hivi.

Ugali nyama, ugali mboga za majani(salade, chainizi, sukamawiki😁, mchicha & kisamvu), ugali samaki(samaki wa ziwani), ugali makange, ugali dagaa(wakenya wanaita Omena)
Eeewalaaaa! Mambo hayo, unakula hadi unaisahau kesho😁
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.

"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Achana na mwili kujengeka; akili? Imejengeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…