Nina miaka mitano sijala UGALI

Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.


"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Sawa Angy Baby
 
Ugali Ni project ya ccm kulemaza watz
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ugali ni mtamu jamani na kama umeuzoea kuucha ni kipengele me nikila kina wali hawashiki tumbo![emoji1787] We mola wangu!!
 
Hizi mambo sio, wazee wetu wamekuka ugali miaka yote miilibyao ipo safi,

Mwili wa binadamu umeubwa Kwa ufanisi wa hali ya juu sana, Cha Msingi Kufuta masharti maana maandiko yansema tufanye mambo Kwa kiasi
 
Tangu lini chumvi ikawa kitu kiibaya ? Chumvi ni electrolytes inaupa Moyo nishati ya umeme na mwili kuwa na energy. Ndio maana mnapata Matatizo ya Moyo mnaanza kuhangaika.


Hizo elimu zenu za mainstream zinawapotosha sana
i i
 
Tangu lini chumvi ikawa kitu kiibaya ? Chumvi ni electrolytes inaupa Moyo nishati ya umeme na mwili kuwa na energy. Ndio maana mnapata Matatizo ya Moyo mnaanza kuhangaika.


Hizo elimu zenu za mainstream zinawapotosha sana

i i
Leta andiko lako ambalo sio la mainstream kuelezea chumvi faida zake. Maana kusema tu kwamba chumvi ni electrolytes bado ni mainstream education. Leta ya kwako modern utudundishe tuelewe.
 
Bado hujala ugali wa mtama na uwele na kuku wa kienyeji aliyeungwa kwa maziwa wewe.
huo siyo ugali anaousemea. hiyo inaitwa ndaga ikichanganywa kidogo na unga wa muhogo. Ugali wa unga wa mahindi ndio wa kishenzi kabisa. umechangia sana kudumaza akili za waafrika wa kusini mwa Jangwa la Sahara hadi CCM inatawala tu bila hata heka heka.
 
Lengo lako hasa NI NINI? Afya?
 
Ugali ni chakula nikipendachoo, siwezi kaa siku 2 bila kula,
Siweziiiiiiu
 
Leo ugali unasimangwa na kupewa kejeli zote wakati ndio umewakuza watu. Lkn mi mwenyewe siupendi basi tu nimekosa substitute yake kwenye kitimoto na Mbuzi moto.[emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…