Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,634
Dada Faiza si kila Muyahudi ni Muislam hata kama ana jina la Kiislam.Unafikiri kuna asiye Muislam anaweza jitolea maisha yake kuokoa watu namna hiyo? Wakati watu wanakimbia tukio yeye ndiyo analifata. Jina lake tu linaeleza kila kitu.