Mkuu.Inasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo tekelezwa na Magaidi wa Al -Shaabab pale Westgate,Nairobi.Alipambana na alistahili zile heko!
Jana pia pale Riverside 14 km sikosei alifanya jambo fanani na lile alilopata kulifanya pale west gate katika Jiji hilo hilo,Nairobi.
Ninayo maswala mawili najiuliza huyo bwana kiintelinjesia kwa nini asichunguzwe kwanza hasa sababu ya kwanini mara zote katika matukio yale alikuwa sehemu ya watu waliofika mapema zaidi ya wengine na kuanza harakati za uokozi!
Je ni kweli ni msamaria mwema pekee?Je hana unasaba wowote na magaidi wale hasa kupitia utalamu wake wa mafunzo yale?
Kwanini kwa mfano jana ilikuwa rahisi mno kwa uzungu/weupe wake kudunguliwa kwa eneo na namna alivyokuwa kweupe na kuonekana na Magaidi wale?!
Hakika ninayo mengi ya kujiuliza kumhusu huyo bwana!Nashauli vyombo vya dola pale Kenya wamchunguze huyo Inyaat!Inawezekana uokozi wake ni GERESHA......!
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam basi ninao sana, kwanza ni Uislam wangu kisha mengine. Hutonitoa huko.Na unaweza kujiona kuwa wewe ni mjuzi sana na ulielimika lakini utaonekana mburulaaaz pindi tu unapoleta mambo ya kidini na vitu vya msingi
Ama mchango yako pale tu imani yako inapoguswa au MTU wa imani pamoja na wewe
Usomi na ujuzi utaonekana hapa so kitu
Na Mimi wewe bibi umesoma sana lakini the way attitude yako na comment zenye milengo Fulani sina shaka kwamba that is part of your insanity na kaujinga flani kadogo kalikobakia kwenye medula yako .
Ukichukia sana napo ni ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekakamia kwenye alama ya kuuliza, it doesn't change a shit. Dini haikuwa issue ya mleta uzi bali alikuwa kwenye utata wa coincidence ya kuwepo kwenye matukio mawili yanayoshabihiana.Kamuuliza mtoa mada akimaanisha au ana shaka na dini yake maana kuna wengine huingiza imani, au hukuona alama ya kuuliza
Coincidences kwenye espionage huwa lazima zichimbwe na baada ya kujiridhisha jinsi zilivyotokea na hazikuwa na uhusiano mbaya basi maisha yanaendelea, ila kujiridhisha regardless dini(hii kwako ni muhimu) ya muhusika kuna umuhimu na ulazima just to clear the doubts.Haswaaaaa. Sasa "coincidence" kwanini ikutie Wasiwasi?
Hapo hata mkikwepa vipi, tunawafahamu.
Ndiyo hapooo. "Doubt" kwa dini yake? Au kingine?Coincidences kwenye espionage huwa lazima zichimbwe na baada ya kujiridhisha jinsi zilivyotokea na hazikuwa na uhusiano mbaya basi maisha yanaendelea, ila kujiridhisha regardless dini(hii kwako ni muhimu) ya muhusika kuna umuhimu na ulazima just to clear the doubts.
Hivi huwezagi kuandika bila kugusia udini kabisa unakera sana.Huyo ni Mwalimu wa maswali ya intelijensia na usalama na ana kampuni binafsi ya mambo ya ulinzi na usalama. Utakuta hizo sehemu zote kampuni yake inahusika kutoa ulinzi. Likitokea yeye ni kati ya watu wa mwanzo kujulishwa na ni mtu asiyengoja amri ya mtu mwengine.
Au kwa Dini yake tu?
Dah!
Kwa kuwepo kwenye matukio mawili yanayoshabihiana, amekuwa kwenye spotlight hivyo si ajabu mtu kuuliza hiyo coincidence imekaa vipi. Sidhani kama dini ilikuwa ni issue kwa mleta uzi labda kwa baadhi ya wachangiaji ndiyo wamesababisha uzi ukaelekea huko.Ndiyo hapooo. "Doubt" kwa dini yake? Au kingine?
Soma sentensi ya mwisho ya mleta mada post namba moja. Tuambie umeielewa vipi?
Kwa kuwa wewe unasema hudhani ndiyo maana mimi nikauliza.Kwa kuwepo kwenye matukio mawili yanayoshabihiana, amekuwa kwenye spotlight hivyo si ajabu mtu kuuliza hiyo coincidence imekaa vipi. Sidhani kama dini ilikuwa ni issue kwa mleta uzi labda kwa baadhi ya wachangiaji ndiyo wamesababisha uzi ukaelekea huko.
Nani? Huyo Mama kumtenganisha na Dini ni kama kupika pilau bila viungo vyovyote.WEKA DINI KANDO KWANZA NDUGU!
Binafsi siwezi kumsemea mleta uzi na nimetafakari neno kwa neno especially alivyomalizia hivyo simtetei na wala simuhukumu ya kuwa alilenga dini ya muhusika kama sababu ya yeye kuchunguzwa na wala si issue ya yeye kutokea na konekana(kuwa) hero kwenye matukio mawili yanayoshabihiana.Kwa kuwa wewe unasema hudhani ndiyo maana mimi nikauliza.
Isome sentensi ya mwisho ya mleta mada na post yangu ya kwanza kwenye mbadala huu?
Kama tunamtilia shaka tuanzie wapi? Magaidi mnasema Waislam hamsemi Wasomali. Inayat Muislam, shaka na mashaka analeta asiye Muislam!
Wala haihitaji kuwa mwana sayansi kuelewa mleta mada kakusudia nini.
Wewe ni mwehuThubutu baniani aitwe Inayat. Unaijua maana yake?
Ushawahi kumkuta mgalatia mwenzenu anaitwa Mustafa?
Nashukuru mungu sio mm pekee angu niliyemshuku yule jamaa wee MTU gan matukio yanamkuta na ye yupo hapo hapo lazma kuna namna halafu intelligencia ya Kenya amkeni nyie achen uboyaInasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo tekelezwa na Magaidi wa Al -Shaabab pale Westgate,Nairobi.Alipambana na alistahili zile heko!
Jana pia pale Riverside 14 km sikosei alifanya jambo fanani na lile alilopata kulifanya pale west gate katika Jiji hilo hilo,Nairobi.
Ninayo maswala mawili najiuliza huyo bwana kiintelinjesia kwa nini asichunguzwe kwanza hasa sababu ya kwanini mara zote katika matukio yale alikuwa sehemu ya watu waliofika mapema zaidi ya wengine na kuanza harakati za uokozi!
Je ni kweli ni msamaria mwema pekee?Je hana unasaba wowote na magaidi wale hasa kupitia utalamu wake wa mafunzo yale?
Kwanini kwa mfano jana ilikuwa rahisi mno kwa uzungu/weupe wake kudunguliwa kwa eneo na namna alivyokuwa kweupe na kuonekana na Magaidi wale?!
Hakika ninayo mengi ya kujiuliza kumhusu huyo bwana!Nashauli vyombo vya dola pale Kenya wamchunguze huyo Inyaat!Inawezekana uokozi wake ni GERESHA......!
hana elimu kubwa yeyote huyo usitishwe na ID za jamiiforum huyo ni mbwa koko kama wengine tuWewe mama, sawa una akili na elimu kubwa. Ila huyo Kassam naamini hana dini na imani kama yako, vinginevyo asingeshiriki kufyeka wenzake kiasi hicho.
sanaa tu watu kama hawa huwa wanacezewa sana vitumbua vyao..