Ni kivuko siyo darajaNimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Kwakuwa hatujamsikia anasema nini', siajabu wewe, unayewawakilisha chadema chakavu wenzio, ndiye usiye na akili.Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Alikwenda kuangalia sehemu korofi. Hebu punguza kumlisha maneno kisa tu umchafueNimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Nadhani ni kweli kabisa.. Makonda kajua kumkondesha hasa,😂Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Hili daraja imeligharimu serikali trillion ngapi?Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Hahahah, naona wahusika wapo busy na uchaguzi mkuuSi yuko Dodoma?
Hospitali si iko hapohapo wanangoja nini kumkamata na kumpeleka kwenye matibabu kabla hajadhuru watu?
Awamu ya kwanza hapo ni hilo daraja la zege. Sema ndio hivyo akili za wanadamu zimekuwa programed kukimbilia mabaya.Tusiwe wepesi wa kuhukumu, unahisi Gambo ni mpumbavu wa kwenda kuzindua au kunadi daraja la aina hiyo? Lets dig and gets the fact kwanza, hiyo awamu ya kwanza inayozungumziwa ni ipi tafadhali?
Sasa Hilo ni daraja la mbunge kwenda kuzinduaACHENI KUPOTOSHA!!!
Pamoja na kwamba mimi sio mfuasi wa siasa; Mrisho gambo amejenga vivuko vingi kwenye jimbo lake.
Katika ziara zake huwa anapenda kuuliza changamoto za watu wa kawaida kama vivuko, maji nk
Niliona hiyo clip live; Viongozi wa eneo hilo nao waliona ni fursa kumuonesha Muhemiwa Mbunge kivuko chao kama nao watapata msaada wa kujengewa kivuko kipya...
Lakini muhimu zaidi ni kusaidia watu wenye mahitaji;
hata ukinunulia kina mama ndoo za maji wakati wanatumia vibuyu kutekea maji ni msaada
Usisubiri hadi upate hela ya kuwaletea Boza la maji...
Ana hoja asikilizwe!Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Mmeshaanza kununuliwa siyo? Huo ni uzushi wa waziNimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Labda ana maguvu!Si yuko Dodoma?