Ungeitwa si mwenzao na kujadiliwa chamani.Hata ningekuwa mjumbe nisingekubali kupigwa picha hapo
Anajiandaa kukaa pembeni anataka adondoke na watu kadhaaNimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
View attachment 3333920View attachment 3333921
Sijui huwa unafikiria nini pana watu mna fani zenu ujue...daah nimecheka Kifala sana hapa.Khaaaa!?Sasa,Gambo na yeye!Ilitakiwa aanze kupata utajiri ndiyo achanganyikiwe.Sasa yeye kaanza kuchanganyikiwa kwanza?
The born-frees huwa tuna maneno sana.Vumilia mkuu.Sijui huwa unafikiria nini pana watu mna fani zenu ujue...daah nimecheka Kifala sana hapa.
Kuna Uzi ule wa majambazi nimekusoma.Khaaaa!?Sasa,Gambo na yeye!Ilitakiwa aanze kupata utajiri ndiyo achanganyikiwe.Sasa yeye kaanza kuchanganyikiwa kwanza?
hapa anamcheka makondaLabda ana jambo lake
Wewe na@bintisayuni nimeona mnaupitia ule uzi.Nilishatubu.Kuna Uzi ule wa majambazi nimekusoma.
Nimekuogopa
Hii dunia sio lelemama nimekusoma kwa herufi KUBWA.
🤣🤣🤣😂Nadhani hizo rangi za Chama sio.🤣🤣Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili
Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu
Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
View attachment 3333920View attachment 3333921
Sawa kaka nimekuogopa kaka...sikutanii na for sure Leo nimesoma comment after comment MAONI YA WADAU YAMENIOGOPESHAAWewe na@bintisayuni nimeona mnaupitia ule uzi.Nilishatubu.
Hiyo kazi uifanye wewe.Sisi tunamfuatia dawa za matibabu muheshimiwa M.Gambo.Utatujuza basi ili tumpe dawa kwa kijiko au anywe tu tembe zake.Tusiwe wepesi wa kuhukumu, unahisi Gambo ni mpumbavu wa kwenda kuzindua au kunadi daraja la aina hiyo? Lets dig and gets the fact kwanza, hiyo awamu ya kwanza inayozungumziwa ni ipi tafadhali?
Mi hapo kama kuna ndugu yangu udugu unakufa hapohapo.Hapo wa kumshangaa sio Gambo bali hao waliojumuika na Gambo hadi kupiga na picha za uzinduzi...😃