Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

Japo simjui ila kama yupo ccm atakua tahira kabisa🤔
Yupo CCM ndo hawa wabunge alituletea Magufuli na tume yake ya uchaguzi

Yaani mbunge anafanya useng_e ambao hata kiranja wa darasa la 3 hafanyi
 
Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili

Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu

Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
😀😀😀
 
Ukisikia watu wa Arusha wakiongea utadhani wana akili kumbe huyu ndiyo mbunge wao..hakika safari hii wamekamatika
 
Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili

Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu

Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920
Timu KONDA mmeshaanza kutumia AI (Artificial Intelligent) kumchafua Gambo kama mlivyomchafua Gwaji Boy akiwa Lodge na mtoto Mrembo.
 
Tusiwe wepesi wa kuhukumu, unahisi Gambo ni mpumbavu wa kwenda kuzindua au kunadi daraja la aina hiyo? Lets dig and gets the fact kwanza, hiyo awamu ya kwanza inayozungumziwa ni ipi tafadhali?
Kweli kaka, watu hawatafuti taarifa sahihi.

Ki ufupi hiyo picha imepigwa upande mmoja, ki msingi alochoenda kukagua ni ujenzi wa karavati kama maandalizi ya ujenzi wa daraja
 
Back
Top Bottom