Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili

Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu

Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Gambo nimemuelewa. Sidhani kama nia yake ni kuzindua. Anayo ajenda nyuma ya pazia.

Kwasababu hajajenga, hahasimamia ujenzi, ila ameenda kukagua.
 
Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili

Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu

Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania
Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
View attachment 3333920View attachment 3333921
Akamatwe haraka apelekwe milembe.
 
Ukimwangalia vizur huyu jamaa ni kama vile Kuna changamoto anapitia kiafya amepoteza Nuru kabisa na amekonda.

Ila CCM tuoneeni huruma wananchi embu angalieni hao wanaoonekana kwenye picha wanasikitisha sana
 
Siamini kama ni kweli alikwenda kuzindua daraja. Ni aidha alikwenda kukagua daraja lililopo kwa sasa au kuzindua ujenzi lakini si kuzindua daraja. Itakuwa ni taarifa yenye nia ya kupotosha.
 
Back
Top Bottom