Nina kila dalili ya muathirika wa UKIMWI

Nina kila dalili ya muathirika wa UKIMWI

Husika 'na kichwa cha habari hapo juu

Mimi ni kijana mwenye umri 30 'niliekua na malengo na mipango mbalimbali 'katika maisha moja katika ayo ' ni kuwa na mjengo ili nimefanikisha kwa 70%...
Badala ya kwenda kupima uanze dozi unakimbilia huku ili upate huruma za wanajf,nenda hospital kapime
 
Ukimwi huo ukimwi gani munapata nyinyi tu, mbona mimi sipati?
 
Sijui kwanini kila nikiuza game nikiingia humu hizi mada nazikuta juu juu
 
Kapime mkuu unaweza ukakonda kwa typhoid ama tb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom