Nina kila dalili ya muathirika wa UKIMWI

Nina kila dalili ya muathirika wa UKIMWI

We unaumwa hofu tuu!!!! Baharia cha msingi ondoa stress kama uwez kupima ondoa hilo suala kaa chin relax usifany mapenz ndan ya miez hii mitatu!!!! Afu kula vizur!!! Fanya zoez mpka uchoke ........itafute furaha kwa nguvu!!!!!!!matunda kwa wingi kama machungwa .......

Vitamin C ikikaa sawa alaf una hofu baba unaishi mbona ....

N.B
Ukifanya vyote hiv na bado hali ikiendelee nenda kapime...... Lakin Nakuombea Baharia ....i hope uko powaaaa
 
Mkuu ondosha wasiwasi wako nenda kapime ukimwi sio ugonjwa ni Upungufu wa kinga za Mwili (IKIMWI) na unatibika kwa dawa za asili usiwe wasiwasi kapime. Hata kama utakuwa na huo ukimwi utatibiwa na kupona ondosha wasiwasi na khofu zako akapime uje tena hapa utupe mrejesho wako.

ukimwi unatibika kwa dawa za asili mkuu ?
 
Nenda kapime, maana mpaka unajishtukia inawezekana unajijua mishemishe zako. Utakuwa zoazoa
Usiseme hivyo, maranyingi zoazoa hawapati ngoma, ila wanaochagua ndo wanapata.
Changamoto hata ukimpima, kama kapata chini ya mwezi, bado anakuambukiza tu japo atakuwa bado anasoma negative.
 
  • Thanks
Reactions: Pep

ukimwi unatibika kwa dawa za asili mkuu ?
ALIYEGUNDUA DAWA YA UKIMWI DOCTOR SEBI. alichofanyiwa na ulimwengu unalia

Ndio Ukimwi unatibika kwa dawa za Asili Msikilize huyu doctor Sebi akisema namna ya kutibu Ukimwi kwa dawa za Asili Mwalimu wangu huyo. Herbalist Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S
 
Unateswa na hofu huumwi chochote
Mimi nilisha wahi kupata wagonjwa 2 wa namna hii wana wasiwasi mkubwa ukimwambia nenda kapime hospitali amepima vipimo vyote magonjwa hayaonekani kwa vipimo vya hospitali.Lakini utakuta bado anakwambia anaumwa, itakuwa ni maradhi ya kiswahili aka mambo ya kiuchawi kwani ukirogwa na ukiwa unaumwa ukienda kupima hospitali maradhi hayaonekani kwa vipimo vya hospitali.
 
Duuuuh noma saanaaa
Umeniamini sasa?Mimii huwa sipendagi kusema maneno pasipo na ushahidi wowote ule.. Ukimwi Corona na magonjwa mengine ya Virus yametengenezwa Maviwandani kwa kutumia madawa yenye sumu aka Chemical Biological ili wapate kuwapunguza watu duniani. Wazungu wametengeneza hayo maradhi ya kuambukiza aka Virus ili wapate watu kufa na kupunguwa duniani na hakuna Maradhi yoyote yasiyo kuwa na dawa yake. Na Mimi ninatibu maradhi yote sugu duniani.
 
Aya ya pili haiko sahihi! Wale walio ambukizwa kwa njia ya kurithishwa na wazazi au kuokoa binadam katika ajali, au kubadilisha damu hospital?

Aya yako ina element za unyanyapaa, tafadhari rekebisha, watu hawapati H.I.V kwa njia moja tu
Hata kama njia ya kupata ukimwi ingekuwa ni ngono pekee bado mtu hawezi kuwa na haki ya kumsema vibaya aliyeathirika mana wote tunafanya ngono na tutaendelea kufanya ngono. Cha msingi tucheze salama na si kila anayeupata hachezi salama ama hajijali
 
Usiseme hivyo, maranyingi zoazoa hawapati ngoma, ila wanaochagua ndo wanapata.
Changamoto hata ukimpima, kama kapata chini ya mwezi, bado anakuambukiza tu japo atakuwa bado anasoma negative.
Kuwa zoazoa uone kitakachokukuta......we fuata story za vijiwe vya kahawa
 
Kuwa zoazoa uone kitakachokukuta......we fuata story za vijiwe vya kahawa
Simaanishi mkuu kuacha kuchukua tafadhari lakini mtu kupata HIV si jambo la kumcheka maana, hujui tunao kutana nao. Ni suala la kuomba Mungu tu kutuepusha na kuacha Ngono zembe.
 
Umeniamini sasa?Mimii huwa sipendagi kusema maneno pasipo na ushahidi wowote ule.. Ukimwi Corona na magonjwa mengine ya Virus yametengenezwa Maviwandani kwa kutumia madawa yenye sumu aka Chemical Biological ili wapate kuwapunguza watu duniani. Wazungu wametengeneza hayo maradhi ya kuambukiza aka Virus ili wapate watu kufa na kupunguwa duniani na hakuna Maradhi yoyote yasiyo kuwa na dawa yake. Na Mimi ninatibu maradhi yote sugu duniani.

Qewe unatibu Ukimwi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom