Nina kila dalili ya muathirika wa UKIMWI

Nina kila dalili ya muathirika wa UKIMWI

Mawazo ndio yanakuua mbwa wewe.

Acha mawazo kwanza ndio kapime na wala huna Ukimwi.
 
Hakuna ujanja hapa bali kupima tu.
 
Hofu tu Mkuu! Nenda hospitali ukamwone daktari akupe ushauri inawezekana huna.
 
Basi si atamke MM TAJIRI tuone km hzo pesa zitakuja k. Tuna uungu kwel
 
moto sio wa polepole acha hofu ingia kituo cha afya kaangalie hiyo Corona kubwa unaweza kukuta huna wasiwasi tu , au nyie ndio wapiga deki maarufu kwa ulimi
 
Uyo anopewa ushauri yuko wapi sasa? Naona kaandika halafu kasepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom