Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Tafuta mfanyakazi au Kama hapo mtaani Kuna wadada wa wanaofua tafuta aje afue, yeye mwenyewe ataanza kuona aibu. Af kua mwanaume unavyojishusha kufua ndio unampa kichwa. Mpeleke kiume hata miezi miwili kwenye nyumba afahamike baba nani
Salute mkuu
 
Sipo mbali na post namba 19, tafuta house girl.

Halafu we jamaa unatakiwa kuwa na tabia za kiume. Sometime mfokee kama mtoto mdogo mwambie upumbavu mi sipendi chachamaa kabisa.

Mwanamke ni kama mtoto anakusoma akifahamu unyonge wako lazima ukione cha mtema kuni.

Usimpe nafsi ya fifty fifty lazima ajione yeye ni mwanamke awe chini.
 
Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juz tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.
Kwa uzoefu tu, Hapa ndugu yangu mkeo analiwa/ anatafunwa kimyakimya na jirani au 'njemba' flani.

Mwanamke wa hivi 'anazuga' ili kuficha madhambi yake.

Take it brother.
 
Wandugu ni n mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watito wawili, nimeishi na mkw wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishon nlilipa maahali kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maiisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndo yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgum kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kpnd akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wanting kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaid ya mwez sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juz tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndo shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometym anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....
Kumbe wewe mjinga unatusumbua bure!
 
Huyo mpe psychological tocha fanya hvi Kama umeshamuonya Mara kibao hasikii.! Nguo zako peleka dry cleaner Kama hazifui ongea pale ambapo Kuna ulazima ...Kama anaona uvivu kukujibu hzo Ni dharau ..... Sim yako ipige password mpya na kamwe usiruhusu mwanamke ashike sim yako Kua Mwanaume usikae kizembe Mwanamke usikae nae kimazoea .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu nimekupata
 
Sipo mbali na post namba 19, tafuta house girl.

Halafu we jamaa unatakiwa kuwa na tabia za kiume. Sometime mfokee kama mtoto mdogo mwambie upumbavu mi sipendi chachamaa kabisa.

Mwanamke ni kama mtoto anakusoma akifahamu unyonge wako lazima ukione cha mtema kuni.

Usimpe nafsi ya fifty fifty lazima ajione yeye ni mwanamke awe chini.
Yap nahisi mpaka Sasa nimepata msaada, thanks mkuu
 
Una madai ya kijinga unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete acha uvivu tafta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kaxi?
Acha uvivu aisee
Nisome vizuri please
 
Unaweza kua na kitu unachomkwaza ila wewe hujui Kama unamkwaza ni ngumu Sana mtu kujiona mapungufu yake ndo maana anakua na tabia za ajabu ajabu jaribu kuongea nae kwa utulivu na upendo kabisa atakuambia
Hi mbinu ishashindikana mkuu, yaan mpaka nshaijaribu kitambo
 
Back
Top Bottom