Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Nina hasira na wife, ushauri wenu please

Nina maswali ya kukuuliza:

Umesema ulikutana nae ujingani? JIbu: bado ana mawazo ya wewe kuchepuka kwa sababu ya njia uliyompata
Umesema una miaka 4 pamoja, je miaka hiyo minne unaishi nae au ni miaka ambayo mmefahamiana ukijumlisha ya kukaa?
Je hii tabia ya kutokuwekea maji bafuni imeanzaje? Aliwahi kuwa anakuwekea maji?
Mkeo ni mfanyakazi au ni mama wa nyumbani?
Kabla ya kuanzisha mahusiano, amewahi kukudanganya?
Hii tabia kuchunguza simu yako imeanza baada ya kukaa nae au mkiwa uchumbani alikuwa akishika simu yako.

Mkeo umemuoa kwa mapenzi au umemuoa baada ya kuwa umezalisha, ukamuonea huruma ili mlee watoto?

Ukinijibu vizuri haya maswali, ukawa genuin, naweza kushauri kitu hapa. ikawa funzo kwa wanaume wengine wanaopitia changamoto kama yako.
naaam umeiva mkuu...hicho kipengele cha kuonea huruma baada ya kupata mtoto huwa kinawadhulu sana wanaume...wanahisi walifanya msaada...owa mtu unayempenda kisikusumbue wewe mwenyewe na huwa wanaogopa kutamka kwa wake zao maana kitazalisha vita ya 3 ya dunia.!!

Mwanamke atasema nipe talaka utaanza kumbwelesha...maana hujajiandaa naye kagundua kumbe hukuwa na mapenzi nae ni.mtoto tu kaleta ndoa.

Tathimini ni muhimu sana kabla ya ndoa.
 
Kwan mkuu sisi wanaume kujiwekea wenyewe maji ya kuoga bafun inagharimu nn pengine au tunapoteza nn hasa? sababu binafsi naona ni a petty thing
Usisahau vitu vidogo vinavunja ndoa,na amesema mwanzoni alikuwa anafanya
 
Una madai ya kijinga, unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete, acha uvivu tafuta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kazi?
Acha uvivu aisee
Cariha bwana!! 😁 😁😁 Michango yako huwa inaniacha hoi mpaka natamani kukufahamu wewe ni Mwanamke wa aina gani!!. Kimsingi mimi naona huyu jamaa anachangamsha jukwaa, kama siyo hivyo bado ana kauvulana kwa mbali. Maana matatizo yote aliyoyaelezea kwenye uzi wake akituliza akili kama kiongozi, mume na Baba wa familia hayawezi kumshinda. Lakini huku mitandaoni anakutana na majibu ya watu kama wewe lazima atapagawa zaidi.
 
Shida watoto mamaa
Nakushauri uwe na maamuzi ya kiume, watoto kisiwe kisingizio cha Mwanamke kukupelekesha anavyotaka. Ukimuonyesha mwanamke kuwa unampenda sana lazima atakuendesha kwa kucheza na hisia zako. Badilika kuwa imara kama simba!! pia nawe jitafute kimya kimya pale utakapogundua kuwa unamkwaza usisite kujirekebisha.
 
Una madai ya kijinga, unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete, acha uvivu tafuta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kazi?
Acha uvivu aisee
Hivi cariha na Joanah ni mmoja?

Wana tabia za kufanana alafu ni wakali namna fulani
 
Una madai ya kijinga, unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete, acha uvivu tafuta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kazi?
Acha uvivu aisee
Anashinda nyumbani, nashinda kazini. Mgawanyo wa majukum haupo? Natafuta pesa, anifulie na kunipikia.
Kwangu angeshatembea kitambo.
 
Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu,

Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya ndio yamenifanya niwaone wakuu:

Mosi, huwa anapata wakati mgumu kunijibu ninapomuuliza kitu

Pili, ni muongo, anaweza kukueleza kwamba alikueleza kitu Fulani wakati hakusema kabisaaa

Tatu, amekuwa mvivu kunifulia hasa baada ya Mimi kufanya kufua nguo kipindi akiwa mgonjwa, now anahisi ni wajibu wangu kufua

Nne, Jambo la Mimi kuoga Wala usimuulize, nna Zaidi ya mwezi sijatengewa maji ya kuoga najitengea mwenyewe

Tano, anapenda Sana kunichunguza Kama nachepuka, juzi tumegombana kwa kusachi simu yangu japo hapakuwa na pa kunikamatia ila kuona sms ya mdada kanisalimia ilikuwa Vita.

Na hii ndio shida kuu, ananivizia usiku anasearch simu yangu Sana na sometime anawapigia wadada nilowasave namba zao, KEROOO

NATAMANI SANA AMANI LAKINI NAHISI ANATAFUTA SHIDA

NISHAACHA UJINGA JAPO HATA YEYE NILIMPATIA UJINGANI LAKINI NAHISI ATANIRUDISHA UJINGANI

USHAURI WENU PLEASE....
Mpandishe cheo, awe mke mkubwa, tafuta mke mdogo mtambulishe.
 
Kumbe Khantwe ni I'd yako ya pili... Nilishawahi kuhisi pia.

Wenzako tukiwa na I'd nyingine tunaigiza tofauti kabisa ndio maana hatujulikani😀

Uzuri/ubaya wa hisia zako zinakudanganya mara zote
Uliyehisi mwanzo na sasa wote umekosa

Kwa taarifa yako ID yangu nyingine inaitwa Kijana wa jana ....uhalisia wa jinsia yangu ni Ke,hii ya Kijana wa jana najifanyaga wa kiume
 
Dada ukiolewa wewe ni mtumishi wa mwanaume,mwanaume akipika au akipeleka maji bafuni ni choice yake tu au sign of appreciation kwako.kwahyo asipo fanya haimaanisha ni mkorofi ila wewe usipofanya huo ni ukaidi.kama unaolewa na haujui kwamba unaenda kumtumikia mwanaume basi bora ubaki na maisha yako tu
Nimeolewa tayari, na mwanaume mwenye mtazamo tofauti na wako.
Maisha kusaidiana sio kutumikishwa kisa ndoa.
Na sie binadam ivoo.
So kupeleka maji bafuni sio lazima. Nikipeleka ni mapenzi tuu, sio utumwa.

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Anashinda nyumbani, nashinda kazini. Mgawanyo wa majukum haupo? Natafuta pesa, anifulie na kunipikia.
Kwangu angeshatembea kitambo.
Kuna vitu ni vidogo sana kulalamika.
Kuwekewa maji jamani???mtu unalalamika hivyo!
 
Aisee hivi mwanaume unaanzaje kusumbuliwa na mwanamke, mimi kihelehele wa kwanza nilishafukuza kwa kipigo kitakatifu akaenda polisi nikaenda nikampa kipigo kingine palepale mbele ya askari na nikamuacha rasmi na nikamuachia nyumba.
Nn chanzo cha hayo yote mkuu?
 
Una madai ya kijinga, unataka akufulie nguo wewe huna mikono, eti akutengee maji wewe ni kiwete, acha uvivu tafuta hela, bila haya wataka ufuliwe maji yako ya kuoga hutaki kubeba mpaka umtese mkeo hujui ulezi ni kazi?
Acha uvivu aisee
Hili povu vipi?
 
Mkuu acha mapenzi ya sinema,,, kufuliwa, kuwekewa maji hizo ni sababu za kitoto sana...

Stay focus otherwise ndoa itakushinda...

Mwanaume mfanye mke wako awe unavotaka wewe.. Ukishindwa hilo andika maumivu

Hence proved
 
Tafuta beki tatu amsaidie kazi au mpandishe cheo mkeo awe mke wa kwanza.
 
Back
Top Bottom