Nina hamu ya...

Nina hamu ya...

figanigga na kaizer au tanmo watafaa hapa

TF anafaa kuweka fleva ya 'halo halo, usituumizie...'

Pia wanahitajika wadada kama watatu hivi wakuchomekea vibwagizo kama 'hooriiiia hooriiiia'.....
 
kwa nyie kuna Grand Prize

na nyingine ndogo ya kibindoni, hii ni kwa nyie tu.

Hahahahaha. . .kisa cha mpambano wetu kuwa mkali zaidi? Kuna kitu maalumu tunapambania?
 
Ha ha ha
huku kwetu ugali ni breakfast
nikipikaugali asubuhi watoto wananuna

umenichekesha sana, na stail ni hiyo hiyo
sijui yahya alikurithisha?!
..hao wanaosubiri hapo pembeni ndio watoto?? mmmh
 
sasa nimeelewa kwa nini sherehe zisizo na pombe watu hulewa zaidi

yaani mnachanganya konyagi, ulanzi, wanzuki, viroba, mbege, kimpumu, mnazi, na togwa kwenye kahawa?

Hilo mwaweza vumbua bomu la nyuklia kabisa.

Mabagala naona keshajitolea kumlinda kongosho. Tukimuonhezea fine wanzuki chupa mbili tu he will for it for free.
 
Kongosho baada ya kuniongeza kahawa basi unipe na kitumbua ndo usingizi utakuja bila ivyo sijui itakuwaje!
 
Kongosho baada ya kuniongeza kahawa basi unipe na kitumbua ndo usingizi utakuja bila ivyo sijui itakuwaje!

Usiwe na haraka vitumbua vitapatikana tumia kwanza kashata mimi mwenyewe ninakisubiria
 
kwa nyie kuna Grand Prize

na nyingine ndogo ya kibindoni, hii ni kwa nyie tu.

Embu kua mwandaaji mzuri unitonye kuhusu hiyi girandi puraizi. . . . kama ni grandi kweli mi ntawapa show ya kufa mtu.
 
hamna vitumbua
kuna kashata na karanga tu

labda kalmati naweza kukununulia gengeni

Kongosho baada ya kuniongeza kahawa basi unipe na kitumbua ndo usingizi utakuja bila ivyo sijui itakuwaje!
 
hamna vitumbua
kuna kashata na karanga tu

labda kalmati naweza kukununulia gengeni
basi japo sambusa wee kongosho! au andazi ya moto moto itafaa baada ya kikombe cha tatu cha kahawa
 
japo mko nyumbani kwangu
nikisema NN atanimaliza
usinitie majaribuni

Embu kua mwandaaji mzuri unitonye kuhusu hiyi girandi puraizi. . . . kama ni grandi kweli mi ntawapa show ya kufa mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom