Nina hamu ya...

Nina hamu ya...

Invitation accepted. Due to technical errors, participation will be limited to subhoofing,lol
Umependekezwa kuwemo kwenye Ngabu's Khanga Moko Ndembendembe Laki si Pesa Milioni Itasaidia Annual Contest
 
kweli laki si pesa, milioni chenji.
Haya, ndembendembe list, halafu mtengeneze na ndambwandambbwa listi....yani wale wanaorusha **** kushoto linaenda kulia....yani ****** kama yamelewa vile.
 
mie na nitonye ni wapiga kinanda, saxasphone, kayamba na marimba

NN, ni mwandaa shindano, jaji na refa
sema naye vizuri ili ushinde

bado naongeza washirili
endelea kujinoa

Mbona wewe hujajitaja? Mie ntakuwa subhoofer, mgongo haupindiki tena huu
 
Nna hamu na Ugali, Wee Kongosho ukimaliza kupika huo Ugali uniite,

busy.jpg
 
Tumia pesa ikuzoee kijana! Kazi ya pesa matumizi, yakipoteza network ndo starehe yenyewe!
kweli laki si pesa, milioni chenji.
Haya, ndembendembe list, halafu mtengeneze na ndambwandambbwa listi....yani wale wanaorusha **** kushoto linaenda kulia....yani ****** kama yamelewa vile.
 
Ha ha ha
huku kwetu ugali ni breakfast
nikipikaugali asubuhi watoto wananuna

umenichekesha sana, na stail ni hiyo hiyo
sijui yahya alikurithisha?!

Nna hamu na Ugali, Wee Kongosho ukimaliza kupika huo Ugali uniite,

busy.jpg
 
Kwani hadi kuwe na watazamaji? Whatever happened to 'dance like nobody's watching coz life is short'?

Mashindano bila watazamaji inahusu?lolzzz
Lazima kuwe na wapiga miruzi na watunzaji ili watu munkari upande.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom