Nina hamu ya...

Nina hamu ya...

Siogope ila nimeona mlivyopotea na kurudi pamoja ghafla bin vuuuum. Sijui ndio mlikua mnapakana grisi. . . Lolzz. . .

Mi siwezi kuwa na wasiwasi maana changu panga boi halioni ndani. Mtoto kiuno laini, kanga hata ikiegeshwa inakaa.

Tusiandikie mate....tuyaweke mauno uwanjani,watu waone mitetemesho na mirindimo...ukubwa wa wowowo sio kujua kukatika,watazamaji wanataka uno....khanga itiwe maji ilainike,uno lifanye kazi. Wanaume wote mtasahau njia za makwenu...#Chezea HEART nyinyiiiiii....
 
Tusiandikie mate....tuyaweke mauno uwanjani,watu waone mitetemesho na mirindimo...ukubwa wa **** sio kujua kukatika,watazamaji wanataka uno....khanga itiwe maji ilainike,uno lifanye kazi. Wanaume wote mtasahau njia za makwenu...#Chezea HEART nyinyiiiiii....

Heheheehheeeee mi penda hiyo konfidensi!

Kitu nyuuurtiiiiiiii.....
 
DJ atakuwa nani...asije akatuwekea blues,kisha akatukata stimu...
 
he he he he
niliona huko pana povukama mabondeni
nikaamua kujenga huku kwenye amani

Acha mafumbo bana.

Alafu nimekuona mahali, kumbe we wa kitambo kule kwenye siHasa ehhh?
 
Pole, bado hujaenda kwa yule mtu?
Nakumbuka kuna siku ulisema zimebaki siku si nyingi.

Ila vuta subira hadi umfuate.

Naomba nisemeee hapa Kongosho....mimi nina hamu na binadamu wa jinsia tofauti.....
 
ha ha ha
duh, majigambo kama ya watu wa ndondi
kama Mohamed Alli

Nishaona unaanza kuyaogopa mauno yangu kabla shindano halijaanza.....hapa hakuna kuiba kura ni haki bin haki. Mashabiki wataongea...kiuno hiki kigumu ila ntajitahidi kizunguke kama feni japo kwa leo..
 
mnanivunja mbavu kwa haya matarumbeta

nimecheka sana

Siogope ila nimeona mlivyopotea na kurudi pamoja ghafla bin vuuuum. Sijui ndio mlikua mnapakana grisi. . . Lolzz. . .

Mi siwezi kuwa na wasiwasi maana changu panga boi halioni ndani. Mtoto kiuno laini, kanga hata ikiegeshwa inakaa.
 
Najitoa rasmi kwenye haya mashindano. . .
Nimeona mshiriki mmoja akikonyezana na jaji huku wakionyeshana dole. . .

Nawaacha hivi ili mjue jeuri ya kushinda ninayo, sema mambo ya kupeana ushindi wa mezani sifagilii.

East African Kitchen Party - YouTube
 
Wera weraaaaaa.....nanhiiino kaniogopa!!!! Kayaaaga mashindano...nimempa intro tu huku back stage akaona mziki wangu mnene..kasanda shindano!!! #Kanipa mama kiuno....(singing)...Chezea HEART weweeeeee
 
kongosho naona stock ya kinywaji inaishia tufanyeje
 
Wera weraaaaaa.....nanhiiino kaniogopa!!!! Kayaaaga mashindano...nimempa intro tu huku back stage akaona mziki wangu mnene..kasanda shindano!!! #Kanipa mama kiuno....(singing)...Chezea HEART weweeeeee

Wewe mkareeeeee....hakuwezi huyo.

Tumsubiri Gaijin binti mwenye fani nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom