Nina hamu ya...

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,164
na hamu ya kuanzisha sredi
ila sina jambo la maana
nataka sehemu ya kupiga soga tu
naogopa kuchakachua sredi za watu bure
mwishowe waninunie

kwa anayetaka kijiwe cha kahawa bila stress
Karibu hapa, karanga na kashata juu yako.
 
Mimi nilijua una hamu ya beere! Kumbe chatting, ngoja wamalize kula watakuja!
 
ngoja nikaoge kwanza, ntakuja na azam cola yangu maana joto kahawa ntatoka jasho na maji yenyewe hayatoki ntaogaje sasa
 
Hilo nalo neno....hapa stori tu kula kwenuuuuuu!! Kuna watu wanapenda sana vya bure kwenye kadamnasi.
 
hata bia na kahawa hapa kwangu nakunywa.
Tatizo bia bei
ila ukinipa ofa sijivungi

Kunywa 3 kwa afya, waambie wanicharge kwenye tembocardmastercard yangu!
BTW gahawa si eksipensivu kuliko wanzuki beer au?
 
Back
Top Bottom