Nina hamu ya...

Nina hamu ya...

Embu kua mwandaaji mzuri unitonye kuhusu hiyi girandi puraizi. . . . kama ni grandi kweli mi ntawapa show ya kufa mtu.

Hiyo show yako inaingoja kwa hamu kanga yako inabidi uiloweshe maji kidoogo yaani tepetepe kidogo mambo yawe mazuri
 
watu wote wameexpres ham zao ila wamesahau moja tu mim nna ham na..... Ila kwa faida ya vipofu sintaandika ntasema tu.
 
Daaaah...!! Sikujua kama jina langu limepitishwa....hatahivyo, Mtanisamehe kwa ukimya wa ghafla.Nilienda kukinoa kiuno changu maana nlishaona wapinzani wamekuwa wengi...lol. Nimeandaa misamba ya kufa mtu...
 
Aaiyayayayaaaaaa......Lizzy upo hapo?
 
Naaah. . . LS mchovu tu.
Ulikua HEART mnapanga mkakati wa kuiba kura.

Nishaona unaanza kuyaogopa mauno yangu kabla shindano halijaanza.....hapa hakuna kuiba kura ni haki bin haki. Mashabiki wataongea...kiuno hiki kigumu ila ntajitahidi kizunguke kama feni japo kwa leo..
 
I lavu yua konfidensi
 
Nishaona unaanza kuyaogopa mauno yangu kabla shindano halijaanza.....hapa hakuna kuiba kura ni haki bin haki. Mashabiki wataongea...kiuno hiki kigumu ila ntajitahidi kizunguke kama feni japo kwa leo..

Siogope ila nimeona mlivyopotea na kurudi pamoja ghafla bin vuuuum. Sijui ndio mlikua mnapakana grisi. . . Lolzz. . .

Mi siwezi kuwa na wasiwasi maana changu panga boi halioni ndani. Mtoto kiuno laini, kanga hata ikiegeshwa inakaa.
 
Pleasure is ol mine Mr. Promoter...ila usinisifie sana,washindani wangu watasema umeniandaa kuwa mshindi....japokuwa ntashinda kikweliii..

Haibi mtu kura hapa tuko makini hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom