Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,682
- Thread starter
- #161
Wema wake haukuondoka moyoni mwangu na hapa katikati nikapita na wanawake sikupata tena kama yeye ninavyoongea leo ndo mtu ninayeishi nae na ninasubilie ikimpendeza Mungu aniletee kiumbe.Nikiwa nimemaliza chuo niliamua kwenda mkoa X kujifunza maisha nje na shule.
Nilibahatika kupata marafiki wengi na uzoefu wa biashara ila sikuweza kukaa sana baada ya kuamua kurudi jiji kuu kuendelea na mishe nyingine.
Ila ninachokumbuka nikiwa mkoa ule kuna mdada mmoja alitokea kunipenda na akanieleza hisia hizo mbele yangu ila kutokana uzoefu wa kuambiwa maneno hayo na wanawake kwa muda mrefu nilimpuuzia na ukizingatia nimetoka shule hata kuna muda maisha siyaelewi hivyo mapenzi kwa wakati huo hakikuwa kipaumbele hivyo sikumwambia kwa mdomo ila kwa vitendo nadhani alielewa.
Nikiwa nimerudi mjini yule dada alionyesha kila dalili za upendo ila alingonga mwamba nachokumbuka nikiwa nampango wa kufanya biashara ya kuuza viatu nilimwelekeza kiutani nikiwa nahitaji mtaji kama wa laki mbili ndani ya dk 10 kwenye simu yangu ikaingia laki 2 kutoka kwake akinisisitiza nifanye biashara niizalishe hiyo hela na nimrudishie kiukweli sikumrudishia na tukaachana kwa ugomvi.
Wema wake haukuondoka moyoni mwangu na hapa katikati nikapita na wanawake sikupata tena kama yeye ninavyoongea leo ndo mtu ninayeishi nae na ninasubilie ikimpendeza Mungu aniletee kiumbe.
Uwa namuuliza ile laki 2 bado unanidai.
Uwa namuuliza ile laki 2 bado unanidai[emoji1787]