Nina kisa kingine cha mchunga ng'ombe aliyenisitiri nitakuja kukiweka hapa
Mbona amekileta tayari.Kilete kaka tujifunze[emoji1488]
Nami niweke kisa changu japo ni chakawaida lakini kwangu ni moja ya tukio ninalo dumu nalo kwa kumshukuru sana Mungu kwaajili ya huyu ninaemzunguzia hapa.
Mwaka 1992 nilikua nakaa na bibi baada ya wazazi kufariki mwishoni mwa miaka ya 80.
92 hio bibi alipata shida ya macho na hakujaliwa kuona tena mpaka anakufa .
Mzazi wangu alikufa alikua ni mwanae wa mwisho 3 kufariki hivyo akawa hana msaada kwa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.
Ilibidi awe ananituma mimi kuomba kwa majirani chakula, leo huku kesho kule mpaka 96 nilipopata nguvu kidogo nikawa naanza kufanya vibarua vya hapa na pale napata mia, mia mbili na wakati mwingine mia tano.
Ilitusaidia kununa mboga , kusaga mahindi, na vitu vidogo vidogo vya kutuwezesha kuishi.
Hii ilienda nikiwa nimetenga siku za kwenda shule , Jumatatu naenda jumanne naenda kibaruani jumatano shule alhamisi kibaruani ijumaa shule jumamosi kibaruani jumapili kanisani.
Kwa mfumo huo ndio nienda kupausua kokoto mahali mbali kidogo tokea asubuhi mpaka saa tisa alienipa kazi hajatokea, njaa inaniuma Sana hata kunyanyua nyundo nikashindwa, lakini mawazo yote yapo kwa yule bibi ambaye tokea jana hajala kitu na hapo alipo hawezi kusogea hata hatua moja.
Ilinibidi nitoke hapo niende kwa baba mmoja aliekuwa anatufahamu kwa lengo la kumuomba kazi yoyote hata nipate 500 tu nirudi nyumbani nikanunue chochote, bahati mbaya sikumkuta ila watoto tuu, niliwaambia shida yangu lakini hawakuwa na lakunisaidia .
Ilibidi niwaombe malimao nile maana ile njaa ilioniuma siku ile mwaka 97 mpaka leo naikumbuka.
Nilikula yake malimao nikapata nguvu kurudi nyumbani km kama 7 hivi, huku sijui itakuwaje kule nyumbani.
Lakini ile nafika tu saa 12 bibi ananiuliza nimefanikiwa chochote maana njaa inaniuma mno, chozi lilipotokea hata sijui.
Lakini nikasikia mlio wa gari yule baba akaja mpaka nyumbani ana unga sukari na mchele, hata nguo hakubadilisha alipoambiwa na watoto kwamba nimekuja na nimeomba kibarua, alishindwa kuvumilia hata kuingia ndani ilibidi aje atuletee chakula.
Hilo tukio ni moja ya matukio ambayo yananipa faraja sana kwamba Mungu yupo na nisikate tamaa hata kama jua limezama chochote kinaweza kutokea.
Nilipika kile chakula lakini nilishindwa kula ila bibi alikuala, shukrani niliompa yule baba mpaka leo sioni kama inatosha, yeye pengine aliona ni kawaida lakini mpaka sasa ni miaka 25 sasa sijasahau na sita sahau zaidi ya kushukuru na kuwa msaada kwa wengine.
Wema ni akiba ndugu zangu tena akiba isio na mfano.
Lakini pia kushukuru ni kwema mno.
Mkuu story yako imeniumiza sana. Pole sana kwa uliyopitia ndugu, sometimes maneno hayatoshi kuelezea machungu watu wanayopitia ama waliyopitia, lakini pole sana ndugu.Nami niweke kisa changu japo ni chakawaida lakini kwangu ni moja ya tukio ninalo dumu nalo kwa kumshukuru sana Mungu kwaajili ya huyu ninaemzunguzia hapa.
Mwaka 1992 nilikua nakaa na bibi baada ya wazazi kufariki mwishoni mwa miaka ya 80.
92 hio bibi alipata shida ya macho na hakujaliwa kuona tena mpaka anakufa .
Mzazi wangu alikufa alikua ni mwanae wa mwisho 3 kufariki hivyo akawa hana msaada kwa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.
Ilibidi awe ananituma mimi kuomba kwa majirani chakula, leo huku kesho kule mpaka 96 nilipopata nguvu kidogo nikawa naanza kufanya vibarua vya hapa na pale napata mia, mia mbili na wakati mwingine mia tano.
Ilitusaidia kununa mboga , kusaga mahindi, na vitu vidogo vidogo vya kutuwezesha kuishi.
Hii ilienda nikiwa nimetenga siku za kwenda shule , Jumatatu naenda jumanne naenda kibaruani jumatano shule alhamisi kibaruani ijumaa shule jumamosi kibaruani jumapili kanisani.
Kwa mfumo huo ndio nienda kupausua kokoto mahali mbali kidogo tokea asubuhi mpaka saa tisa alienipa kazi hajatokea, njaa inaniuma Sana hata kunyanyua nyundo nikashindwa, lakini mawazo yote yapo kwa yule bibi ambaye tokea jana hajala kitu na hapo alipo hawezi kusogea hata hatua moja.
Ilinibidi nitoke hapo niende kwa baba mmoja aliekuwa anatufahamu kwa lengo la kumuomba kazi yoyote hata nipate 500 tu nirudi nyumbani nikanunue chochote, bahati mbaya sikumkuta ila watoto tuu, niliwaambia shida yangu lakini hawakuwa na lakunisaidia .
Ilibidi niwaombe malimao nile maana ile njaa ilioniuma siku ile mwaka 97 mpaka leo naikumbuka.
Nilikula yake malimao nikapata nguvu kurudi nyumbani km kama 7 hivi, huku sijui itakuwaje kule nyumbani.
Lakini ile nafika tu saa 12 bibi ananiuliza nimefanikiwa chochote maana njaa inaniuma mno, chozi lilipotokea hata sijui.
Lakini nikasikia mlio wa gari yule baba akaja mpaka nyumbani ana unga sukari na mchele, hata nguo hakubadilisha alipoambiwa na watoto kwamba nimekuja na nimeomba kibarua, alishindwa kuvumilia hata kuingia ndani ilibidi aje atuletee chakula.
Hilo tukio ni moja ya matukio ambayo yananipa faraja sana kwamba Mungu yupo na nisikate tamaa hata kama jua limezama chochote kinaweza kutokea.
Nilipika kile chakula lakini nilishindwa kula ila bibi alikuala, shukrani niliompa yule baba mpaka leo sioni kama inatosha, yeye pengine aliona ni kawaida lakini mpaka sasa ni miaka 25 sasa sijasahau na sita sahau zaidi ya kushukuru na kuwa msaada kwa wengine.
Wema ni akiba ndugu zangu tena akiba isio na mfano.
Lakini pia kushukuru ni kwema mno.
Dah machozi yamenitokaNami niweke kisa changu japo ni chakawaida lakini kwangu ni moja ya tukio ninalo dumu nalo kwa kumshukuru sana Mungu kwaajili ya huyu ninaemzunguzia hapa.

Fanya kitu kwa familia yake utapata nafuu kubwa rohoniNina mkumbuka baba yangu mlezi (mume wa mama mdogo )alinichukua kutoka kwa mama yangu nikiwa na miaka 3 akanilea na kunisomesha tena shule za gharama kubwa.Kuanzia nursey mpaka chuo kikuu. Baada tu ya kumaliza field yangu ya mwisho,mwaka wa mwisho baba akafariki.
Nina maumivu sana mpaka Leo